Khaaaaa!!! 😂😂😂Nunua kY au kilainishi cha aina nyingine pharmacy,usitumie mafuta ya nazi au vasseline. Jambo lingine la msingi ni kuondoa mental block/kizuizi akilini,ukijiona wewe ni mgonjwa basi huwezi kupata matokeo chanya .
Kuna wanawake wa hiyo shida ya kukosa ute na wanafanya ngono kwa kutumia vilainishi bila shida. Kama una mpenzi/mume basi zungumza nae ili muweze kuikabili hiyo changamoto pamoja . Usikubali kufanya mapenzi wakati unaumia kwani itakufanya uichukie ngono kabisa.
Mwisho fanya majaribio ya kujiridhisha mwenyewe (masterbation) ili uweze kuujua mwili wako kingono. Hii ni muhimu sana japo watu wata kukaanga hapa,kama una hela jinunulie hata vibrator,Lube/Ky anza kujitafuta.
AChana na manabii feki utapoteza hela zako kwenye sadaka bila mafanikio,be positive nyege zako zipo under your fingertips 😊. Pole sana .
😅😅😅😂 Kutokana na hali yake hataweza kuridhishwa mpaka kwanza ajue kujiridhisha mwenyewe 🍹. Kwanini alie kwamba hajawahi kuridhishwa wakati hata yeye hajui jinsi ya kujiridhisha?🫡🫡 Self pleasure is very important key ya kumuwezesha kutoka jela ya upwiru.Khaaaaa!!! 😂😂😂
Hii kali aloooooh
Una kitu utafika mbali. 😜😅😅😅😂 Kutokana na hali yake hataweza kuridhishwa mpaka kwanza ajue kujiridhisha mwenyewe 🍹. Kwanini alie kwamba hajawahi kuridhishwa wakati hata yeye hajui jinsi ya kujiridhisha?🫡🫡 Self pleasure is very important key ya kumuwezesha kutoka jela ya upwiru.
Wazee wa fursa. Shauri hapa hapapole njoo pm
Cha kwanza kabla ya yote muone Therapist inaonekana kuna tatizo la misaikolojiaHabari jamani naomba msaada.
Mimi ni msichana nasumbuliwa na matatizo ya uzazi nimetumia Dawa nyingi za hospital lakini bila mafanikio na zamitishamba pia hakuna matokeo ila yanakujaga kidogo lakini tatizo linarudi pale pale.
Kiufupi sijawahi pata hamu ya tendo sijui inaradha gani, pia sijawahi pata ute nateseka sana hata nishikwe wapi, naombeni msaada anayejua Dawa ya uhakika nikapona jamani.
Kwamba atumie dildo au.?Mwisho fanya majaribio ya kujiridhisha mwenyewe (masterbation) ili uweze kuujua mwili wako kingono.