Nasumbuliwa na maradhi ya kuumwa miguu

Bitcoinbase

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
319
Reaction score
285
Nisiwachoshe,,,
Nikwamba nasumbuliwa na MARADHI ya Kuuma miguu,,, ambayo yaliaza ghafula tu,na nikifikia yakwenda kutibiwa,, baada ya vipimo niliandikiwa Dawa ambazo ni mwezi sasa natumia bila mabadiliko

Hivyo naomba wataalamu wa tiba Za mitishamba Kama wapo
 
Mshana jr pitia huku utoe msaada kwa ndg yetu huyu....
 
Punguza uzito bro..
 
Wacha uchoyo ww, PM ya nn? Hutaki wengine wanufaike??????
Aaaagh boss si vizuri kuweka mambo yote Hapa ya MARADHI... Kama kunawataalam tunamalizana pm. Au nakosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…