Blessed Son
Member
- Apr 23, 2015
- 34
- 23
Pole mdau. Una muda gani hujawahi kushiriki tendo?
Sijawahi kufnya mapenzi maishani mwangu mkuu
Sijawahi kufnya mapenzi maishani mwangu mkuu
Mkuu nipe mrejesho baada ya kwenda hospital ilikuwaje? Na hali yako ya sasa ikoje?Wakuu napata maumivu katika hali zifuatazo:-
1.Wakati fulani nikimaliza kukojoa mwisho natokwa na manii halafu maumivu makali ya korodani yanafuatia.
2.Nikitamani kufanya ngono hata kama sijafanya natokwa pia na manii na hufuatia na maumivu makali ya korodani.
Maumivu hayo huendana na uvimbe katika mirija inayounganisha uume na korodani,na baada ya muda nakuwa katika hali ya kawaida, sasa tatizo linaweza kuwa ni nini?
Kwa hiyo sperms zikiwa nyingi ndo apate maumivu ya korodani?basi sperms zimekuanyingi hadi zinaanza kutoka ukiwa unakojoa
tafuta mpenzi mdogo wangu au pia unaweza kujaribu bao la mkono
YeahKwa hiyo sperms zikiwa nyingi ndo apate maumivu ya korodani?
Kwa hiyo asiende hospital bali apunguze Sperm tu?Yeah
ziondoe tu mtu mwenyewe huna kazi nazo kumbeSijawahi kufnya mapenzi maishani mwangu mkuu