Nasumbuliwa na maumivu ya korodani, nini tatizo?

Nasumbuliwa na maumivu ya korodani, nini tatizo?

Blessed Son

Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
34
Reaction score
23
Wakuu napata maumivu katika hali zifuatazo:-

1.Wakati fulani nikimaliza kukojoa mwisho natokwa na manii halafu maumivu makali ya korodani yanafuatia.

2.Nikitamani kufanya ngono hata kama sijafanya natokwa pia na manii na hufuatia na maumivu makali ya korodani.

Maumivu hayo huendana na uvimbe katika mirija inayounganisha uume na korodani,na baada ya muda nakuwa katika hali ya kawaida, sasa tatizo linaweza kuwa ni nini?
 
Pole mdau. Una muda gani hujawahi kushiriki tendo?
 
Sijawahi kufnya mapenzi maishani mwangu mkuu

Mkuu Blessed Son nakushauri nenda kapime mkojo(UTI) kama itakuwa mana moja ya dalili za UTI ni kutoka manii baada ya kujisaidia
Je mkojo unauma mkuu?kama mkojo unauma ni UTI.
 
Last edited by a moderator:
Ukihisi mwili wako kiafya kuna mushikeli, kitu cha kwanza nenda hospitali kwa wataalam na vipimo.
Hapa unaweza kupewa ushauri ambao ni sawa na kucheza kamari patapotea.
 
Yaani hujawai aisee ww Muongo ila nenda hospital maradhi ya mlipuko mengi sku hizi
 
Maumivu ya korodani could be okaitis, though go and make a complete test

Pole
 
Zipunguze punguze mdau. hali hiyo inatokana na mlundikano wa sperms nyingi mwilini.
 
Hizo site za huko chini hua sio za kuletea mzaa kabisa.. kitu chochote kisipoenda sawa ni kwa daktari fasta....
Kukienda wrong huko mtu unaweza kua single hadi siku unakufa hivihvi..Wahi kwa dokta tu
 
Wakuu napata maumivu katika hali zifuatazo:-

1.Wakati fulani nikimaliza kukojoa mwisho natokwa na manii halafu maumivu makali ya korodani yanafuatia.

2.Nikitamani kufanya ngono hata kama sijafanya natokwa pia na manii na hufuatia na maumivu makali ya korodani.

Maumivu hayo huendana na uvimbe katika mirija inayounganisha uume na korodani,na baada ya muda nakuwa katika hali ya kawaida, sasa tatizo linaweza kuwa ni nini?
Mkuu nipe mrejesho baada ya kwenda hospital ilikuwaje? Na hali yako ya sasa ikoje?
 
mimi niliwai kupata hali kama hii ila ilitokana na kujichia nilipoanza kunywa lita mbili za maj hali iliondoka
 
Back
Top Bottom