chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Lita 10?? Mmh
Atakuwa mweupe kama ray.Kindoo kidogo
Nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona kabisa.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi MkavuWana jf nasumbuliwa na mawe kwenye figo,naomba mwenye uelewa anipatie msaada namna gani nitajitibu.nimeenda hospitali moja hapa jijini mwanza walinipa vidonge nimetumia kwa siku 45 kuwa ingeweza kuyeyusha mawe lakini sijapata unafuu nateseka sana kwani hata shemeji yenu siku hizi namwangalia tu siwezi kumpatia haki yake.
kunywa maji mengi umeambiwa mkuu usilete doubt,hiyo ni tiba kubwa sana,pia kama unawezAA PATA juisi ya miwa halisi ambayo haijachanganywa na kitu chochote inafaa sanayuko wapi huyo miss natafuta?
Mkuu pole sana kuna dawa zinamaliza kabisa ila bongo ni fake pata mtu yuko Dubai muagizie hazifiki hata dola 30 niliwahi mketea mtu ngoja nitafute jina na picha nikupatieWana jf nasumbuliwa na mawe kwenye figo,naomba mwenye uelewa anipatie msaada namna gani nitajitibu.nimeenda hospitali moja hapa jijini mwanza walinipa vidonge nimetumia kwa siku 45 kuwa ingeweza kuyeyusha mawe lakini sijapata unafuu nateseka sana kwani hata shemeji yenu siku hizi namwangalia tu siwezi kumpatia haki yake.
Nicheki pm ndugu..Wana jf nasumbuliwa na mawe kwenye figo,naomba mwenye uelewa anipatie msaada namna gani nitajitibu.nimeenda hospitali moja hapa jijini mwanza walinipa vidonge nimetumia kwa siku 45 kuwa ingeweza kuyeyusha mawe lakini sijapata unafuu nateseka sana kwani hata shemeji yenu siku hizi namwangalia tu siwezi kumpatia haki yake.
Wana jf nasumbuliwa na mawe kwenye figo,naomba mwenye uelewa anipatie msaada namna gani nitajitibu.nimeenda hospitali moja hapa jijini mwanza walinipa vidonge nimetumia kwa siku 45 kuwa ingeweza kuyeyusha mawe lakini sijapata unafuu nateseka sana kwani hata shemeji yenu siku hizi namwangalia tu siwezi kumpatia haki yake.
Hivi kipimo cha utrasound ni bei ganiMe nna tatizo kama lako nakunywa dawa ya maji ili kuyayeyusha,,,,,na tangu nitumie
nimepata nafuu kiasi chake,,,nataka nikapige tena utrasound kucheki kama yameish au la,,, Dawa iyo hapo》》》》 /// DISODIUM HYDROGEN CITRATE LIQUED (cital)
Inauzwa elfu kumi tu mkuu,,, Ila inatakiwa unywe maji pia kwa sana,,,,me kwa sasa nakunywa maji lita tano kwa siku na nshazoea na nayapenda maji balaa
Inategemea n.a. hospital,, me nilicheki kwa elfu thelasini mkuuHivi kipimo cha utrasound ni bei gani
Tuko pamoja mkuuInategemea n.a. hospital,, me nilicheki kwa elfu thelasini mkuu
Wana jf nasumbuliwa na mawe kwenye figo,naomba mwenye uelewa anipatie msaada namna gani nitajitibu.nimeenda hospitali moja hapa jijini mwanza walinipa vidonge nimetumia kwa siku 45 kuwa ingeweza kuyeyusha mawe lakini sijapata unafuu nateseka sana kwani hata shemeji yenu siku hizi namwangalia tu siwezi kumpatia haki yake.
poa mkuu,, ilaTuko pamoja mkuu

Mkuu maji ni dawa ya ugonjwa wowote. Nina ushuhuda wa mtu aliyepona huo ugonjwa kwa kunywa maji. Jitahidi kunwa lita hadi 10 kwa siku. Kwa miezi 3-4