Nasumbuliwa na mawe kwenye figo ,msaada wa haraka inahitajika

Nasumbuliwa na mawe kwenye figo ,msaada wa haraka inahitajika

kwanza nakupa pole kwa maumivu makal unayoyapata najua wengi wanazungumza kikawida ilaa jmaan kidney stone maulivu yake ni makal kuliko usipochoma dawa ya diclofenac waweza hisi unakufa nilishapat hilo tatzo nikapiga utrasound nilipewa madawa kamabhiyo citratehydrochloride sijui ya kuchanganya na maji nikaitumia hali ikarud tenaa .nikaamua kuingia mtandaon nisome kuhusu hydronephrosis na kidney stone issue na kusoma comments za watu mbali mbali waliowah kupata hiyo adha yenye maumivu makal yasiyopoa nikaja na jibu kuwa dawa ni MAJI .nilikunywa maji meng kwa mawe yakawa yanatoka yanapita kweny urethra mpaka yanadondoka kweny sink nayaona ilaa maumivu huwa yanashuka jinsi jiwe linavyoshuka mpaka linatoka na pia damu huwa inatoka unapokojoa kama una hilo tatzo sabb yanakwangua ukua wa urinary system.nakushaur kunywa maji sio chini ya lit4 kwa siku maishan mwako hutapata hili tatzo pia punguza chumvi na pilipili pia kaz zinazofanya uvuje jasho jing
Vizuri
 
Me nna tatizo kama lako nakunywa dawa ya maji ili kuyayeyusha,,,,,na tangu nitumie
nimepata nafuu kiasi chake,,,nataka nikapige tena utrasound kucheki kama yameish au la,,, Dawa iyo hapo》》》》 /// DISODIUM HYDROGEN CITRATE LIQUED (cital)

Inauzwa elfu kumi tu mkuu,,, Ila inatakiwa unywe maji pia kwa sana,,,,me kwa sasa nakunywa maji lita tano kwa siku na nshazoea na nayapenda maji balaa
 
Back
Top Bottom