Gyole
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 7,008
- 7,059
Vizurikwanza nakupa pole kwa maumivu makal unayoyapata najua wengi wanazungumza kikawida ilaa jmaan kidney stone maulivu yake ni makal kuliko usipochoma dawa ya diclofenac waweza hisi unakufa nilishapat hilo tatzo nikapiga utrasound nilipewa madawa kamabhiyo citratehydrochloride sijui ya kuchanganya na maji nikaitumia hali ikarud tenaa .nikaamua kuingia mtandaon nisome kuhusu hydronephrosis na kidney stone issue na kusoma comments za watu mbali mbali waliowah kupata hiyo adha yenye maumivu makal yasiyopoa nikaja na jibu kuwa dawa ni MAJI .nilikunywa maji meng kwa mawe yakawa yanatoka yanapita kweny urethra mpaka yanadondoka kweny sink nayaona ilaa maumivu huwa yanashuka jinsi jiwe linavyoshuka mpaka linatoka na pia damu huwa inatoka unapokojoa kama una hilo tatzo sabb yanakwangua ukua wa urinary system.nakushaur kunywa maji sio chini ya lit4 kwa siku maishan mwako hutapata hili tatzo pia punguza chumvi na pilipili pia kaz zinazofanya uvuje jasho jing