Nasumbuliwa na mgongo na kiuno

Nina tatizo kama lako kwa zaidi ya miaka 17 sasa. Lilianza nikiwa form three nakumbuka kuna mama alinipa begi 2 nimnyoshee. Niliinama kwa zaidi ya masaa 8. Kuja kuinuka, maumivu mpaka leo na sijapata tiba
Pole tiba ipo na unaoona kabisaa ninzuri sio chungu wala tamu ni kama unakunywa maji ila pia ya kubandika eneo lililo athiriiwa
 
Pole tiba ipo na unaoona kabisaa ninzuri sio chungu wala tamu ni kama unakunywa maji ila pia ya kubandika eneo lililo athiriiwa
Tiba inapatikana wapi? Maana nimetumia dawa nyingi za kuelekezwa lakini wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…