COMORIENNE
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 923
- 1,054
Pole tiba ipo na unaoona kabisaa ninzuri sio chungu wala tamu ni kama unakunywa maji ila pia ya kubandika eneo lililo athiriiwaNina tatizo kama lako kwa zaidi ya miaka 17 sasa. Lilianza nikiwa form three nakumbuka kuna mama alinipa begi 2 nimnyoshee. Niliinama kwa zaidi ya masaa 8. Kuja kuinuka, maumivu mpaka leo na sijapata tiba