Nasumbuliwa na MIJIMAMA

Huyu mshikaji anawasiwasi tu, labda yeye akiona lijimama linamchekea anafikiri linamtaka. ukitoka out lazima ujue kuwa kuna wanawake wengi wa kila rika nao pia wapo kazini (wanauza penzi) na wengine huwezi kudhania kuwa wapo kazini. Hivyo asijifanye anapendwa na mijimama. Mijimama hiyo inakuwa kazini ukiingia line inajua asubuhi haikosi hata buku ten ya mboga ya watoto.

Huyu mshikaji ana low horizon kwa mambo ya kutoka. So expaaaaand your horizoooon.:A S 100:
 
sasa nisikilize kwa makiiini sana.
Akikutokea jimama yeyote just chukua namba yake kisha send me thru PM nitakuepusha naye.

Mie ndo mtaalam wa kuzuia mizoga isitoe harufu

Mkuu tupo wengi,mi ni mtu mwenye kuamini katika work experience na hiyo mijimama ina experience kubwa katika mambo fulani hivi...... na wala huwa haitoi kwa uchoyo unapewa yoooooooooote,nami naomba nijiunge katika kuomba PM ya namba za simu japo limoja tu likawasimulie wenzake.
 
ushauri wangu bab "KAMA ALIKUFA KWA UKIMWI JIULIZE ALIJALI NINI??" jumlisha Toa alafu pata Jibu!! Ushauri mwengine tafuta utakaye mpenda awe jimama au kijana! then tulia naye! maisha mafupi usi complicate
 
Watu hawajui kuwa asali ya nyuki wadogo ni tiba shekhe wangu.

BUJIBUJI watakuua hao, walete huku kwenye mashine za KUTAKATISHA
 
kama yana hela kula kwanza hela zao, usitoe huduma bure, wao huwa wanatuchaji, but don't 4gt condom teh! teh! teeee!
 
hahahahah bila ubishi :becky:
Yaaani I can feeel it coming to me.....
BUJIBUJI hayuko fair analalamika huku analipenda na kulikumbatia tatizo. Huwezi ukapeleka malaria hospitali kisha ukagomea dawa.
shauri yake
 

Endelea tu kwa sasa. Vunja mifupa ungali bado meno ipo.... Ukizeeka utaanza kutafuta nyama laini kama maini vile....
 
BB, una bahati sana! Wachape nao tu...
 
pole, lakini si uwafungie vioo tu kama huwataki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…