Imekua almost a few month now tangu niwe katika Hali hii back to my point I have been through hell in relationship so sijui ndo hii Hali nayojiskia ndo imetokana na hivyo I don't know....[emoji1751][emoji1751]
MmmhKama bado unasumbuliwa hiyo hali wewe kula mjani tu, utajikuta upo happy bila sababu. Yaani unaweza jikuta unaanza kucheka tukio lililotokea january na uka enjoy kabisa, ni wewe tu!.