Nasumbuliwa na tatizo la kiungulia

Nasumbuliwa na tatizo la kiungulia

Pole sana.

Nenda Hospitali wakufanyie vipimo.

Uwezekano mkubwa una tatizo la Acid tumboni, ila inashauriwa upime ili wajue kama uko kwenye hatua gani kuhusiana na Kupata Vidonda vya tumbo. Kisha utapatiwa Dawa kulingana na stage tatizo lako lilipo. Zipo Dawa ukipatiwa zitakusaidia kupungua kiwango cha Acid tumboni na hatimaye utakuwa sawa kabisa.

Ila; NENDA HOSPITALI.
 
Back
Top Bottom