Hiyo ni mimba, mtoto wa kiumeMimba hiyo tayari
Naomba msaada juu hili wakuu.
Tatizo limekuwepo kwa zaidi ya miezi 6 sasa. Na kila siku zinavyikwenda linazidi, mana mwanzo llikua likija mara moja kwa wiki mbili au tatu lakini saivi naona ndio limenikamata. Mda mwengine mpaka hufikia kutapika. Hua kinakuja mda wowote ikiwa asubuh au usiku ikiwa nishakula au hata sijala. Mda mwengine hudumu nacho hata siku nzima.
View attachment 887036
Kunywa chai ya Tangawizi kwa siku mara 3 asubuhi mchana na usiku kwa siku 3 au siku 5 au siku 7 utakuwa umepona hayo maradhi yako ya kichefuchefu.