Nasumbuliwa na tatizo la kupata kichefuchefu mara kwa mara

Nasumbuliwa na tatizo la kupata kichefuchefu mara kwa mara

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Posts
11,880
Reaction score
10,372
Naomba msaada juu hili wakuu.

Tatizo limekuwepo kwa zaidi ya miezi 6 sasa. Na kila siku zinavyikwenda linazidi, mana mwanzo llikua likija mara moja kwa wiki mbili au tatu lakini saivi naona ndio limenikamata. Mda mwengine mpaka hufikia kutapika. Hua kinakuja mda wowote ikiwa asubuh au usiku ikiwa nishakula au hata sijala. Mda mwengine hudumu nacho hata siku nzima.
 
Kichefuchefu na kutapika inaweza kuwa sehemu ya mwili kujilinda. Huenda kuna kitu kinakukataa. Kama huumwi
👉🏾Nunua diary uandike kila unachokula na muda wa kula pia andika muda hali inapokuwa mbaya au nzuri.
👉🏾Nenda na diary kwa doctor wako baada ya wiki moja.
 
Minyoo ndiyo humfanya hivyo mtu.pima minyoo
 
TANGAWIZI TIBA YA KICHEFUCHEFU (1).jpg

Kunywa chai ya Tangawizi kwa siku mara 3 asubuhi mchana na usiku kwa siku 3 au siku 5 au siku 7 utakuwa umepona hayo maradhi yako ya kichefuchefu.
 
Naomba msaada juu hili wakuu.

Tatizo limekuwepo kwa zaidi ya miezi 6 sasa. Na kila siku zinavyikwenda linazidi, mana mwanzo llikua likija mara moja kwa wiki mbili au tatu lakini saivi naona ndio limenikamata. Mda mwengine mpaka hufikia kutapika. Hua kinakuja mda wowote ikiwa asubuh au usiku ikiwa nishakula au hata sijala. Mda mwengine hudumu nacho hata siku nzima.

nicheck kwa 0657 317631 nikupatie dawa kichefuchefu na kitakoma kabisa.
 
Ukapime vipimo hivi utapata jibu lako

1.Minyoo
2.H- pylori ( bacteria wanaosababisha vidonda vya tumbo )

3. UPT kama ni mwanamke
 
Back
Top Bottom