Nakukubaliumesshawahi enda wapi kati ya hapa 1. Hosp
2.kwa mchungaji au shekhe
3.Mganga wa tiba za asili
4.Mganga wa kienyeji na ramli chonganishi
5. Kote ulishaenda?
Nyamwila255 dronedrake Poor Brain
Habari wadau
Nisingependa nieleze sana ila kiufupi napitia wakati mgumu sana nimekuwa nikipata shoti kama ya umeme kwenye mwili wangu kwa muda sasa kwani imekuwa ikitokea mara kwa mara ambapo unaweza isikia mguuni ghafla tena baada ya muda mgongoni na maeneo engine ya mwili jambo hili limenipelekea msongo wa mawazo na kukosa raha kabisa.
Naombeni ushauri maana nimekata Tamaa ya maisha
Kwahiyo hujui kama mwili wako una umeme?Eeh duniani kuna mtihani wallah sijawahi sikia hii
Akiona kuna wengine wanawasha mpaka balbu si atazimia huyoKwahiyo hujui kama mwili wako una umeme?
Sio ntazimia tu natatapa tapa hadi akheraAkiona kuna wengine wanawasha mpaka balbu si atazimia huyo
Iko hivi kuna watu wana umeme mkubwa kiasi kwamba wanaweza shika umeme wenye volt kubwa sana na hawapigwi shoti kabisaSio ntazimia tu natatapa tapa hadi akhera
Dah ama kweli ina maana sisi binadamu wote tuna umeme ndani ya miili yetu ila inatofautiana nguvu?Iko hivi kuna watu wana umeme mkubwa kiasi kwamba wanaweza shika umeme wenye volt kubwa sana na hawapigwi shoti kabisa
Kuna wengine anashika tube light na inawaka kabisa,kuna watu wameumbwa tofauti sana au wako special
Wote tuna umeme wq kawaida katika miili yetu,ndiyo hiyo inayopeleka signal katika ubongo,mfano ukijichoma na msumar au sindano fasta signal zinapelekwa katika ubongo na unasikia maumivu na kutoa mguu au mkono katoka hatarDah ama kweli ina maana sisi binadamu wote tuna umeme ndani ya miili yetu ila inatofautiana nguvu?
Ndio tuna umeme na bila kuwa na umeme mwilini mwako unapata matatizo ya mwili. Ila ukizidi unasababisha matatizo pia ndio maana unashauriwa kukanyaga ardhi peku kwa muda wa dakika 30 kila wiki hasa umri unapoelekea uzeeni hii inasaidia umeme uliozidi upotelee ardhini.Dah ama kweli ina maana sisi binadamu wote tuna umeme ndani ya miili yetu ila inatofautiana nguvu?