NkumbiSon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 2,483
- 3,492
umeme una sheria zake, hata wewe unaweza kuishika nyaya ya grid ya Taifa na usipigwe short. Umeme usipokamilisha mzunguko wake hauna madhara. ukipigwa shot ujue umduingilia ktk mzunguko wake au wewe ndio umeukamilisha huo mzunguko.Iko hivi kuna watu wana umeme mkubwa kiasi kwamba wanaweza shika umeme wenye volt kubwa sana na hawapigwi shoti kabisa
Kuna wengine anashika tube light na inawaka kabisa,kuna watu wameumbwa tofauti sana au wako special