NkumbiSon JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 2,483 Reaction score 3,492 Sep 4, 2024 #21 Etugrul Bey said: Iko hivi kuna watu wana umeme mkubwa kiasi kwamba wanaweza shika umeme wenye volt kubwa sana na hawapigwi shoti kabisa Kuna wengine anashika tube light na inawaka kabisa,kuna watu wameumbwa tofauti sana au wako special Click to expand... umeme una sheria zake, hata wewe unaweza kuishika nyaya ya grid ya Taifa na usipigwe short. Umeme usipokamilisha mzunguko wake hauna madhara. ukipigwa shot ujue umduingilia ktk mzunguko wake au wewe ndio umeukamilisha huo mzunguko.
Etugrul Bey said: Iko hivi kuna watu wana umeme mkubwa kiasi kwamba wanaweza shika umeme wenye volt kubwa sana na hawapigwi shoti kabisa Kuna wengine anashika tube light na inawaka kabisa,kuna watu wameumbwa tofauti sana au wako special Click to expand... umeme una sheria zake, hata wewe unaweza kuishika nyaya ya grid ya Taifa na usipigwe short. Umeme usipokamilisha mzunguko wake hauna madhara. ukipigwa shot ujue umduingilia ktk mzunguko wake au wewe ndio umeukamilisha huo mzunguko.