Nasumbuliwa na tumbo kujaa gesi, kutoa hewa chafu kila dakika na napata choo kigumu

A

Anonymous

Guest
Mimi nina 24yrs nasumbuliwa na tumbo kujaa gesi, kujamba hovyo kila dakika hewa inatoka chafu sehemu ya haja kubwa, choo kigumu na hili tatizo limeanza tangu Mwaka 2022 mpaka leo 2026.

Nishatumia dawa mbalimbali bila msaada wowote nishazunguka hospitali nyingi ila nashindwa kupata dawa sahihi kwakweli.

Naombeni MSAADA kwa anayejua tiba ya hili tatizo maana linanipa stress kwa sababu siwezi kukaa na watu karibu.
 
Umepima vidonda vya tumbo?

Unapendelea chakula aina gani? Unakunywa maji mengi?

Baadhi ya tiba ulizotumia ni zipi?
 
Badili life style
Zingatia mlo sahihi, kama ni mtumiaji wa pombe punguza au acha, masoda juice acha,kunywa maji kwa wingi na pia fanya mazoezi
Fanya haya ndani ya mwezi tu utarudi na ushuhuda!
 
Acha pombe kama unatumia.....maana ndio magazine ya hao wadudu tumbling.....nenda hosp Hpylori na hyperchloremia/Hyperacidity
 
  • Thanks
Reactions: naa
kunywa maji mengi kula matunda zingatia muda wa mlo
 
Njoo nikuuzie mti wa mtambaa 0712505049 elf 20 tu
 
Mwombe Mungu akusaidie kujua chanzo maana huo mwili ni Hekalu lake na analihitaji,Jaribu kutumia ukwaju,weka ratiba ya kula vizuri.
 
Mimi nina 24yrs nasumbuliwa na tumbo kujaa gesi, kujamba hovyo kila dakika hewa inatoka chafu sehemu ya haja kubwa, choo kigumu na hili tatizo limeanza tangu Mwaka 2022 mpaka leo 2026.

Nishatumia dawa mbalimbali bila msaada wowote nishazunguka hospitali nyingi ila nashindwa kupata dawa sahihi kwakweli.

Naombeni MSAADA kwa anayejua tiba ya hili tatizo maana linanipa stress kwa sababu siwezi kukaa na watu karibu.
Pole sana ndugu yangu.
Dalili zako zinaashiria utumbo kutofanya kazi vizuri hasa suala la kufunga choo na gesi nyingi.
Ninashauri uanze kurekebisha lishe, kunywa maji mengi, na kutumia tiba salama ya kusaidia choo kutoka vizuri pamoja na kusafisha tumbo.

Pia ni vyema kufanya vipimo ili kujua chanzo halisi kwa sababu tatizo la muda mrefu linahitaji uchunguzi sahihi.

Kwa mahitaji ya vipimo na ushauri wa matibabu unaweza kuwasiliana kwa 0626 908 654 /0718 958 410
 
Back
Top Bottom