A
Umepima vidonda vya tumbo?Mimi nina 24yrs nasumbuliwa na tumbo kujaa gesi, kujamba hovyo kila dakika hewa inatoka chafu sehemu ya haja kubwa, choo kigumu na hili tatizo limeanza tangu Mwaka 2022 mpaka leo 2026.
Nishatumia dawa mbalimbali bila msaada wowote nishazunguka hospitali nyingi ila nashindwa kupata dawa sahihi kwakweli.
Naombeni MSAADA kwa anayejua tiba ya hili tatizo maana linanipa stress kwa sababu siwezi kukaa na watu karibu.
Acha pombe kama unatumia.....maana ndio magazine ya hao wadudu tumbling.....nenda hosp Hpylori na hyperchloremia/HyperacidityBadili life style
Zingatia mlo sahihi, kama ni mtumiaji wa pombe punguza au acha, masoda juice acha,kunywa maji kwa wingi na pia fanya mazoezi
Fanya haya ndani ya mwezi tu utarudi na ushuhuda!
Pole sana ndugu yangu.Mimi nina 24yrs nasumbuliwa na tumbo kujaa gesi, kujamba hovyo kila dakika hewa inatoka chafu sehemu ya haja kubwa, choo kigumu na hili tatizo limeanza tangu Mwaka 2022 mpaka leo 2026.