tengeneza juice ya ukwaju huchukui muda fasta unaenda kutoa kimba la ukwli bila kusahau vitunguu swaumuWakati wote tumbo langu limejaajaa tu, ukila kidogo tu tumbo linajaa kupita kiasi, haja haipatkani unaweza utapata lakini ni kwa shida na Kwa mda mrefu, kuunguruma ndio saana na vichomi kiunoni hasa wakati wa asbuhi, naomba msaada wenu ndugu zanguni,
Helw Rafiki, pole ndugu kwa changamoto hiyo ya kiafya, nimekutana na watu wenye hali kama hiyo ya kwako, kuna mama mmoja yey alikua hata wiki 2 zinapita, but akijapata haja kinakua kigum kwel kwel, saiv yuko vzur kbsa, mwengine n kaka mmoja wa Morogoro, yey mda wte tumbo limejaa, hajiskii kula, muda mwingi anajiskia uchovu na mwili kama unakua hauna nguvu hvi, lakn nae saiv anatafuna msos hatar kbsa na tatzo limeisha. Hili ni tatzo linaloukumba mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Tuwasiliane uanze tiba mapema 0714 547550-Mbuya nipo Dsm. Asante na KaribuWakati wote tumbo langu limejaajaa tu, ukila kidogo tu tumbo linajaa kupita kiasi, haja haipatkani unaweza utapata lakini ni kwa shida na Kwa mda mrefu, kuunguruma ndio saana na vichomi kiunoni hasa wakati wa asbuhi, naomba msaada wenu ndugu zanguni,

HII NDO TIBA YA HILO TATIZO,USICHELEWE FANYA HARAKAtengeneza juice ya ukwaju huchukui muda fasta unaenda kutoa kimba la ukwli bila kusahau vitunguu swaumu
ni minyoo ao apo mebendazole inatakiwa iusikeWakati wote tumbo langu limejaajaa tu, ukila kidogo tu tumbo linajaa kupita kiasi, haja haipatkani unaweza utapata lakini ni kwa shida na Kwa mda mrefu, kuunguruma ndio saana na vichomi kiunoni hasa wakati wa asbuhi, naomba msaada wenu ndugu zanguni,