Nasumbuliwa na tumbo,

Nasumbuliwa na tumbo,

Masan Ab

Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
37
Reaction score
29
Wakati wote tumbo langu limejaajaa tu, ukila kidogo tu tumbo linajaa kupita kiasi, haja haipatkani unaweza utapata lakini ni kwa shida na Kwa mda mrefu, kuunguruma ndio saana na vichomi kiunoni hasa wakati wa asbuhi, naomba msaada wenu ndugu zanguni,
 
Upepo hautoki sawasawa jitahidi uzibuliwe
 
Wakati wote tumbo langu limejaajaa tu, ukila kidogo tu tumbo linajaa kupita kiasi, haja haipatkani unaweza utapata lakini ni kwa shida na Kwa mda mrefu, kuunguruma ndio saana na vichomi kiunoni hasa wakati wa asbuhi, naomba msaada wenu ndugu zanguni,
tengeneza juice ya ukwaju huchukui muda fasta unaenda kutoa kimba la ukwli bila kusahau vitunguu swaumu
 
Nunua papai,embe na ndizi fanya juice kama jagi moja inywe yote halafu lete mrejesho. Kama wewe wa mikoani matatizo ya kula Ugali hayo. Unahitaji chipsi mayai. Tumbo lilainike
 
Kama tumbo linaleta usumbufu achana nalo fanya mambo ya maana
 
Wakati wote tumbo langu limejaajaa tu, ukila kidogo tu tumbo linajaa kupita kiasi, haja haipatkani unaweza utapata lakini ni kwa shida na Kwa mda mrefu, kuunguruma ndio saana na vichomi kiunoni hasa wakati wa asbuhi, naomba msaada wenu ndugu zanguni,
Helw Rafiki, pole ndugu kwa changamoto hiyo ya kiafya, nimekutana na watu wenye hali kama hiyo ya kwako, kuna mama mmoja yey alikua hata wiki 2 zinapita, but akijapata haja kinakua kigum kwel kwel, saiv yuko vzur kbsa, mwengine n kaka mmoja wa Morogoro, yey mda wte tumbo limejaa, hajiskii kula, muda mwingi anajiskia uchovu na mwili kama unakua hauna nguvu hvi, lakn nae saiv anatafuna msos hatar kbsa na tatzo limeisha. Hili ni tatzo linaloukumba mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Tuwasiliane uanze tiba mapema 0714 547550-Mbuya nipo Dsm. Asante na Karibu
 
Mm linajaa gesi na nikienda choo ninaharisha na chakula no mmengenyo kbsa kinatoka km nivyokula
 
Msaada jmn nimetumia much drugs mpaka nadhani sumu za hizi drugs zimekuwa nyingi mwilini
 
Eat your food
as your medicines.
Otherwise
you have to
eat medicines
as your food"

Usisahau kunywa maji ya kutosha walau lita 3 kwa siku
 
Wakati wote tumbo langu limejaajaa tu, ukila kidogo tu tumbo linajaa kupita kiasi, haja haipatkani unaweza utapata lakini ni kwa shida na Kwa mda mrefu, kuunguruma ndio saana na vichomi kiunoni hasa wakati wa asbuhi, naomba msaada wenu ndugu zanguni,
ni minyoo ao apo mebendazole inatakiwa iusike
 
Hiyo ina ashiria kuna sehemu ya digestive tract yako imezibwa either kidogo au full kabisa na inaeza kua imezibwa kutokana na uvimbe ndani ya lumen, au uvimbe wa nje unakandamiza hiyo lumen, au utumbo unaeza kua umejisokota ie intestinal obstruction, hebu nenda hospitali Ndugu ukafanyiwe uchunguzi zaidi
 
Back
Top Bottom