Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,259
- 2,483
[emoji23][emoji23]pole sana mkuu, kweli unaumwa sanaVipi nikiweka vyote majani,mizizi na matunda nichemshe yote itafanya kazi?
Ahsante kiongoziIngia tu google search hilo jina.Alafu angaliza hizo picha zake.Ni majani flani hivi yanajioteaga tu maporini.Wangoni wanayaita Manyonyori.
Kwa wale wanaosumbuliwa na gesi, Tango ndio suluhisho, weka tango kwenye kila mlo wako, unaweza usimenye maganda, lioshe tu vizuri kata kata vipande kula, unaweza kuweka chumvi kwa mbali sana kupata ladha kwa atakaye,Bamia ni wewe tu na uwezo wako wa kuzitumia unaweza,
1. Kuziloweka kwenye maji ya lita 1, zikiwa mbichi baada ya kuzipasua kati kwa dkk 10-15 ukanywa yale maji yake mdogo mdogo siku nzima hadi yanaisha
2. Kuzikata kata vipande vidogo, na kuzichemsha kwa maji vikombe vinne unaweza ukaweka chumvi kiduchu sana au usiweke, chemsha kwa dkk 3-5, zikipoa mimina kwenye kikombe nusu kunywa zote (bamia na maji) dozi ya ×3 kwa siku.... hii kwa lugha nyepesi tunasema mlenda wa bamia na wengi hutumia hii
3. Chukua bamia mbichi na maziwa fresh blend kwa pamoja weka kwenye glass kunywa dozi ya ×2 kwa siku.... hii uwe na roho ngumu kweli kweli ila ukiikazania unapona kabisa ndani ya siku 30 tu
Dozi hizo zote utatumia mfululizo kwa siku 30 kisha utajipima kwa vyakula vinavyokusumbua kama bado utaongeza siku 30 zingine, dawa sio chumvi utumie leo upone hapo hapo wengine tayari vimekua sugu kwa hiyo uponaji wake utachukua muda, pia ukitumia hasa vikiwa vinauma utapata nafuu ya haraka usiache ukajihisi umepona endelea ukamilishe dozi.
MapumbwijiMashona nguo ndio majani gani hayo?
Ingia Google search biden pilosaMashona nguo ndio majani gani hayo?
Ahsante sana mkuuIngia Google search biden pilosa
View attachment 2690763
Haya ndio Mashona Nguo, Ni majani ambayo huwa yanaganda kwenye nguo ukipita mahali
.Ingia Google search biden pilosa
View attachment 2690763
Haya ndio Mashona Nguo, Ni majani ambayo huwa yanaganda kwenye nguo ukipita mahali
Daktari kama daktariKwa wale wanaosumbuliwa na gesi, Tango ndio suluhisho, weka tango kwenye kila mlo wako, unaweza usimenye maganda, lioshe tu vizuri kata kata vipande kula, unaweza kuweka chumvi kwa mbali sana kupata ladha kwa atakaye,
Vidonda vya tumbo na gesi ni chanda na pete, badilisha mlo wako usile vyakula vinavyoleta gesi, usikae na njaa muda mrefu, ukijiona umepitiliza mlo usianze na chakula kizito, kula tunda kwanza au chai isiyo ya tangawizi ndio uje kula chakula kamili na hakikisha unakula kiasi usishibe, matunda ya kuanza nayo ni Tikiti, ndizi, tango, papai, parachichi, epuka machungwa, embe, apple, zabibu,
Angalizo, vidonda vya tumbo visipotibika kuna hatari ya kupata saratani ya utumbo.
Ingia Google search biden pilosa
View attachment 2690763
Haya ndio Mashona Nguo, Ni majani ambayo huwa yanaganda kwenye nguo ukipita mahali
Hii namba 1 nitaanza nayo.Bamia ni wewe tu na uwezo wako wa kuzitumia unaweza,
1. Kuziloweka kwenye maji ya lita 1, zikiwa mbichi baada ya kuzipasua kati kwa dkk 10-15 ukanywa yale maji yake mdogo mdogo siku nzima hadi yanaisha
2. Kuzikata kata vipande vidogo, na kuzichemsha kwa maji vikombe vinne unaweza ukaweka chumvi kiduchu sana au usiweke, chemsha kwa dkk 3-5, zikipoa mimina kwenye kikombe nusu kunywa zote (bamia na maji) dozi ya ×3 kwa siku.... hii kwa lugha nyepesi tunasema mlenda wa bamia na wengi hutumia hii
3. Chukua bamia mbichi na maziwa fresh blend kwa pamoja weka kwenye glass kunywa dozi ya ×2 kwa siku.... hii uwe na roho ngumu kweli kweli ila ukiikazania unapona kabisa ndani ya siku 30 tu
Dozi hizo zote utatumia mfululizo kwa siku 30 kisha utajipima kwa vyakula vinavyokusumbua kama bado utaongeza siku 30 zingine, dawa sio chumvi utumie leo upone hapo hapo wengine tayari vimekua sugu kwa hiyo uponaji wake utachukua muda, pia ukitumia hasa vikiwa vinauma utapata nafuu ya haraka usiache ukajihisi umepona endelea ukamilishe dozi.
Unatumika majAni, mzizi au mashona Nguo yenyewe?Mke wangu alikuwa anasumbuka sana na hivyo vidonda vya tumbo.Kuna siku niliingia humu JF nikakuta kuna uzi unaelezea dawa ya vidonda vya tumbo inaitwa mashona nguo.Nikaenda home,nikayachuma mengi na kumchemshia waifu.Alitumia kama wiki hivi.Hajasumbuliwa tena mpaka leo.Jaribu na wewe
Majani yake.Unaweza ukayachuma na kuyachemsha chini ya dakika zisizozifi kumi au ukaysloweka kwenye maji ya vuguvugu kwa dakika thelasini au saa moja.Vyote ni sahihi.Unatumika majAni, mzizi au mashona Nguo yenyewe?