Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo

Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo

Bamia ni wewe tu na uwezo wako wa kuzitumia unaweza,
1. Kuziloweka kwenye maji ya lita 1, zikiwa mbichi baada ya kuzipasua kati kwa dkk 10-15 ukanywa yale maji yake mdogo mdogo siku nzima hadi yanaisha

2. Kuzikata kata vipande vidogo, na kuzichemsha kwa maji vikombe vinne unaweza ukaweka chumvi kiduchu sana au usiweke, chemsha kwa dkk 3-5, zikipoa mimina kwenye kikombe nusu kunywa zote (bamia na maji) dozi ya ×3 kwa siku.... hii kwa lugha nyepesi tunasema mlenda wa bamia na wengi hutumia hii

3. Chukua bamia mbichi na maziwa fresh blend kwa pamoja weka kwenye glass kunywa dozi ya ×2 kwa siku.... hii uwe na roho ngumu kweli kweli ila ukiikazania unapona kabisa ndani ya siku 30 tu

Dozi hizo zote utatumia mfululizo kwa siku 30 kisha utajipima kwa vyakula vinavyokusumbua kama bado utaongeza siku 30 zingine, dawa sio chumvi utumie leo upone hapo hapo wengine tayari vimekua sugu kwa hiyo uponaji wake utachukua muda, pia ukitumia hasa vikiwa vinauma utapata nafuu ya haraka usiache ukajihisi umepona endelea ukamilishe dozi.
Kwa wale wanaosumbuliwa na gesi, Tango ndio suluhisho, weka tango kwenye kila mlo wako, unaweza usimenye maganda, lioshe tu vizuri kata kata vipande kula, unaweza kuweka chumvi kwa mbali sana kupata ladha kwa atakaye,

Vidonda vya tumbo na gesi ni chanda na pete, badilisha mlo wako usile vyakula vinavyoleta gesi, usikae na njaa muda mrefu, ukijiona umepitiliza mlo usianze na chakula kizito, kula tunda kwanza au chai isiyo ya tangawizi ndio uje kula chakula kamili na hakikisha unakula kiasi usishibe, matunda ya kuanza nayo ni Tikiti, ndizi, tango, papai, parachichi, epuka machungwa, embe, apple, zabibu,

Angalizo, vidonda vya tumbo visipotibika kuna hatari ya kupata saratani ya utumbo.
 
Mashona nguo ndio majani gani hayo?
Ingia Google search biden pilosa

biden.JPG

Haya ndio Mashona Nguo, Ni majani ambayo huwa yanaganda kwenye nguo ukipita mahali
 
Kwa wale wanaosumbuliwa na gesi, Tango ndio suluhisho, weka tango kwenye kila mlo wako, unaweza usimenye maganda, lioshe tu vizuri kata kata vipande kula, unaweza kuweka chumvi kwa mbali sana kupata ladha kwa atakaye,

Vidonda vya tumbo na gesi ni chanda na pete, badilisha mlo wako usile vyakula vinavyoleta gesi, usikae na njaa muda mrefu, ukijiona umepitiliza mlo usianze na chakula kizito, kula tunda kwanza au chai isiyo ya tangawizi ndio uje kula chakula kamili na hakikisha unakula kiasi usishibe, matunda ya kuanza nayo ni Tikiti, ndizi, tango, papai, parachichi, epuka machungwa, embe, apple, zabibu,

Angalizo, vidonda vya tumbo visipotibika kuna hatari ya kupata saratani ya utumbo.
Daktari kama daktari
 
Bamia ni wewe tu na uwezo wako wa kuzitumia unaweza,
1. Kuziloweka kwenye maji ya lita 1, zikiwa mbichi baada ya kuzipasua kati kwa dkk 10-15 ukanywa yale maji yake mdogo mdogo siku nzima hadi yanaisha

2. Kuzikata kata vipande vidogo, na kuzichemsha kwa maji vikombe vinne unaweza ukaweka chumvi kiduchu sana au usiweke, chemsha kwa dkk 3-5, zikipoa mimina kwenye kikombe nusu kunywa zote (bamia na maji) dozi ya ×3 kwa siku.... hii kwa lugha nyepesi tunasema mlenda wa bamia na wengi hutumia hii

3. Chukua bamia mbichi na maziwa fresh blend kwa pamoja weka kwenye glass kunywa dozi ya ×2 kwa siku.... hii uwe na roho ngumu kweli kweli ila ukiikazania unapona kabisa ndani ya siku 30 tu

Dozi hizo zote utatumia mfululizo kwa siku 30 kisha utajipima kwa vyakula vinavyokusumbua kama bado utaongeza siku 30 zingine, dawa sio chumvi utumie leo upone hapo hapo wengine tayari vimekua sugu kwa hiyo uponaji wake utachukua muda, pia ukitumia hasa vikiwa vinauma utapata nafuu ya haraka usiache ukajihisi umepona endelea ukamilishe dozi.
Hii namba 1 nitaanza nayo.
 
Mkuu pole sana hata mm nasumbuka sana kama wewe naomba unitafte inbox nikuelekeze kwa jamaa yupo tanga lkn pia kam upo Dar kun dawa nayotumia mm nitakup nimelekezwa na jamaa yangu ilimponesha pia hiyo ya mashona nguo nimeelekezwa ila bado cjaitumia anza na hiyo ya mashona nguo kaka
 
Mke wangu alikuwa anasumbuka sana na hivyo vidonda vya tumbo.Kuna siku niliingia humu JF nikakuta kuna uzi unaelezea dawa ya vidonda vya tumbo inaitwa mashona nguo.Nikaenda home,nikayachuma mengi na kumchemshia waifu.Alitumia kama wiki hivi.Hajasumbuliwa tena mpaka leo.Jaribu na wewe
Unatumika majAni, mzizi au mashona Nguo yenyewe?
 
Majani yake.Unaweza ukayachuma na kuyachemsha chini ya dakika zisizozifi kumi au ukaysloweka kwenye maji ya vuguvugu kwa dakika thelasini au saa moja.Vyote ni sahihi.
 
Nenda dukani nunua baking soda au baking powder hata ile ya chapa mandazi....weka kwenye kijiko lamba mara tatu kwa siku ....for info baking powder ukisoma kwenye box kuna kitu kimeandikwa kinaitwa Bicarbonate of soda hicho kikiingia tumboni kinabadilisha acidi kuwa alkaline.
 
Back
Top Bottom