Nasumbuliwa sana na tumbo, hasa nikila maharage

mzee wa misele

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
366
Reaction score
46
Habarini wakuu,

Ninasumbuliwa na tumbo kuuma sana hasa ni nikila maharage na dagaa nimeenda hospitali moja ya wilaya nikapima kipimo cha occuh blood hakuna reaction yoyote.

Nishaurini nifanyaje?
 
Inaonyesha vyakula vyenye gesi ukila ndio unapata maradhi ya tumbo kuuma, jaribu kuacha vyakula vyenye gesi nenda kapime tena usije kuwa una vidonda vya tumbo? Kunywa maji ya uvuguvugu kila siku unapo amka asubuhi kunywa glasi 3 majiya uvuguvugu kisha kaa kwa muda wa saa 1 bila ya kula kitu baada ya saa 1 kupita waweza kunywa chai ya asubuhi na wakati wa mchana.

Kunywa tena Maji ya uvuguvugu glasi 2 fanya kama ulivyo fanya asubuhi na wakati wa usiku fanya kama ulivyo fanya mchana na wakati wakulala kunywa maji ya uvuguvugu glasi 1 kisha lala dumisha hivyo kwa siku 10 kisha uje unipe mrejesho je bado unaumwa na tumbo? Ugua pole ukitaka ushauri au una maswali zaidi waweza kunitafuta kwa kubonyeza hapa.

Mawasiliano
 
Iyo ni dalili ya vidonda vya tumbo mkuu nitafute 0717556768 tiba. Unapona kabisa
 
Masuala ya tumbo naya heshimu sana maana unaweza ukajikuta mtu mzima unatia aibu kwenye kadamnasi!
 
nimepima vidonda vya Tumbo nimeamiwa sina vipimo kama H.PYLORI NA O/B AU KUNA VIPIMO VINGINE WAKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…