ShindwaaaMsimu huu arsenal hatoboii yaani championship inawahusu
Ndio championship...Sasa arsenal hii itamfunga nani?? Yaan hata wafukuze kocha ni mwendo wa vipigo tuu.
Wachezaji wote waajabu ajabu tu
Na mechi ijayo ni dhidi ya man city mtapigwa hadi mchakaeee
View attachment 1904426
Hakuna aliemtabiria mwenzie kifo hapaKama ni utabiri hakuna shida maana pia wapo watu huwatabiria wengine vifo mwishoni hufa wao hivyo kutokea ni yamkini.
Hujawahi ona watu wanatabiri matokeo mechi ikiwa inaendelea?Huu sio utabiri.yaan wewe umeangalia msimamo baada ya mechi mbili alafu unaita utabiri.
Msimu huu arsenal hatoboii yaani championship inawahusu
Ndio championship...Sasa arsenal hii itamfunga nani?? Yaan hata wafukuze kocha ni mwendo wa vipigo tuu.
Wachezaji wote waajabu ajabu tu
Na mechi ijayo ni dhidi ya man city mtapigwa hadi mchakaeee
View attachment 1904426
Ishuke jumla tu maana inaaibisha Jiji la London ππππππ Na ikishuka haitorudi tena
Utabili wa hovyoMsimu huu arsenal hatoboii yaani championship inawahusu