Natabiri; Arsenal FC itashuka daraja msimu huu

Natabiri; Arsenal FC itashuka daraja msimu huu

Huu sio utabiri.yaan wewe umeangalia msimamo baada ya mechi mbili alafu unaita utabiri.
Hujawahi ona watu wanatabiri matokeo mechi ikiwa inaendelea?

Sawa hizo mechi mbili zitoe Basi tuanze upya
 
Dua la mwenye roho mbaya haliipati Arsenal.
Msimu huu arsenal hatoboii yaani championship inawahusu

Ndio championship...Sasa arsenal hii itamfunga nani?? Yaan hata wafukuze kocha ni mwendo wa vipigo tuu.

Wachezaji wote waajabu ajabu tu

Na mechi ijayo ni dhidi ya man city mtapigwa hadi mchakaeee

View attachment 1904426
 
tayariiii ishashuka au kuna aseno ingne nje na hii the ngumuz
 
Back
Top Bottom