matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Nimetafakari.
Maneno mengi ya kusisimua yenye kuja Chumvi yalikuwa tayari yameshasemwa katika account ya kigogo Twitter.
Ni katika likizo hii account hiyo imefutwa na mabeberu. Kesho Yale ikaibuka nyingine nayo sasa hivi siioni. Account hiyo Mpya ilikuwa inaongea kwa wingi kana kwamba huyo mmiliki sio mmoja na lawama za kufungiwa kwao wakiitupia Idara ya Usalama nchini kuwa imewachongea kwa wamiliki wa twitter.
Kwa mtazamo wangu hilo nalo litapunguza vionjo na bashasha za mgombea wachadema. Ikumbukwe hata neno alilosema mgombea mwenzake yuko " gereji" nilikuwa limeshasemwa huko tayari na wababe wa twitter.
Kwa mtazamo wangu, sijishangai kuamini kampeni zimeisha wagombea mahasimu mmoja kujipa likizo mwingine kupewa adhabu bila kujali adhabu hiyo ni haramu au halali kivifungu.
Naomba kuwasilisha utabiri.