Uchaguzi 2020 Natabiri Baada ya likizo ya Kampeni: Wagombea wakirudi mgombea wa CHADEMA atakosa mvuto

Uchaguzi 2020 Natabiri Baada ya likizo ya Kampeni: Wagombea wakirudi mgombea wa CHADEMA atakosa mvuto

Mimi sina chama ila nikiangalia Ccm inapendwa sana na Magufuli Kila nikiuliza mtu anasema atapigia Magufuli

Huyu Baba Magufuli ana upendo sana

Yale mengine wanwmzushia
Upi! Huu wa kununua ndege na kutoajiri watu kwa miaka mitano. Njaa kila Kona ndo upendo huo. Kuchapa lisasi akina lisu na kupotea akina saanane ndo upendo huo! Au we mnufaika wa serikali hii ndo Mana hutaki ugali ukuponyoke kirahis
 
Hivi kumbe mgombea wa chadema alikuwa na mvuto?

Kumbe yule wetu pendwa hana mvuto ndiyo maana anaandamana na kina 'suchu'?

Ina maana bila kina 'suchu' ni kapi tu na atabakia na kina chakupimbi na kina bashiri peke yake?
Kule Zanzibar baada ya mvuto wa wasanii kumpisha ahutubie wananchi hata wale walioletwa kuongeza namba walianza kuondoka uwanjani wakiwaacha wakina chakupimbi na wenzao wachache toka Bara. He is repugnant and repulsive!
 
Nimetafakari.
Maneno mengi ya kusisimua yenye kuja Chumvi yalikuwa tayari yameshasemwa katika account ya kigogo twitter.

Ni katika likizo hii account hiyo imefutwa na mabeberu. Kesho Yale ikaibuka nyingine nayo sasa hivi siioni. Account hiyo Mpya ilikuwa inaongea kwa wingi kana kwamba huyo mmiliki sio mmoja na lawama za kufungiwa kwao wakiitupia Idara ya Usalama nchini kuwa imewachongea kwa wamiliki wa twitter.

Kwa mtazamo wangu hilo nalo litapunguza vionjo na bashasha za mgombea wachadema. Ikumbukwe hata neno alilosema mgombea mwenzake yuko " gereji" nilikuwa limeshasemwa huko tayari na wababe wa twitter.

Kwa mtazamo wangu, sijishangai kuamini kampeni zimeisha wagombea mahasimu mmoja kujipa likizo mwingine kupewa adhabu bila kujali adhabu hiyo ni haramu au halali kivifungu.

Naomba kuwasilisha utabiri.
Aliyekosa mvuto ni magufuli wenu ambae siku hizi akiwa anahutubia watu wanaondoka uwanjani
 
MaCCM akili zao azinaga akili kabisa...
Kwa kua Magufuli na CCM yake Iliojifia kukosa mvuto na kukataliwa Tanganyika na Zanzibar. Basi Samata kila mtu awe fungu la kukosa kama wao.

CCM ya Magufuli imekataliwa Tanganyika na Zanzibar na imekataliwa Duniani na Mbinguni. pambaneni na Hali zenu.

#NIYEYE MBEBA MAONO.. ✌🏽✌🏽
 
Nimetafakari.

Maneno mengi ya kusisimua yenye kuja Chumvi yalikuwa tayari yameshasemwa katika account ya kigogo Twitter.

Ni katika likizo hii account hiyo imefutwa na mabeberu. Kesho Yale ikaibuka nyingine nayo sasa hivi siioni. Account hiyo Mpya ilikuwa inaongea kwa wingi kana kwamba huyo mmiliki sio mmoja na lawama za kufungiwa kwao wakiitupia Idara ya Usalama nchini kuwa imewachongea kwa wamiliki wa twitter.

Kwa mtazamo wangu hilo nalo litapunguza vionjo na bashasha za mgombea wachadema. Ikumbukwe hata neno alilosema mgombea mwenzake yuko " gereji" nilikuwa limeshasemwa huko tayari na wababe wa twitter.

Kwa mtazamo wangu, sijishangai kuamini kampeni zimeisha wagombea mahasimu mmoja kujipa likizo mwingine kupewa adhabu bila kujali adhabu hiyo ni haramu au halali kivifungu.

Naomba kuwasilisha utabiri.
Ndo akili yenu hiyo? Malafa
 
Yaliyowakuta watanzania katika utawala wa Jiwe miaka 5 iliyopita
1. 16/38 risasi, sep/7
2. Ben Saanane
3. Azory
4. Mawazo
5. Mkiru...over 1,000 people dead
6. Uncountable Coco beach sandarusi maitii
7. and many any other atrocities due to be identified when time is ripe!

...Orodha inaendelea

8. Offisi ya Fatma Karume kupigwa mabomu
9. Akwilina Aquilin
10. Makonda kuvamia kituo za Clouds
11. Ubambikizaji wa kesi
12. Kuwanyima maendeleo wasiochagua CCM
13. Dotto James
14. Mayanga Construction
15. Utumiaji wa watumishi na mali za serikali kwenye kampeni za CCM
16. Msafara wa kampeni wa Lissu kushambuliwa na polisi
17. Msafara wa kampeni wa Lissu kushambuliwa na wanachama wa CCM
....daah
 
Bila hawa wasanii CCM mngeumbuka sana kampeni hizi.
 
Back
Top Bottom