Uchaguzi 2020 Natabiri Baada ya likizo ya Kampeni: Wagombea wakirudi mgombea wa CHADEMA atakosa mvuto

Tunajua hicho ni moja ya hisia zenu za kimakosa, kama ambavyo mlidhani Lissu hatarudi akarudi na sasa CCM inahenyeshwa.

Usiende mbali. Wiki ijayo tukutane uwanjani halafu uone watakavyokuwa wamewaongezea wananchi hamu zaidi ya kumwona na kumsikiliza.

CCM calculations za kisiasa zero. Nyie siku zote mnategemea dola tu. Bahati mbaya this time around is not gonna work.

You are done! Get used to it.
 
Mambo ya uhalisia unaleta habari za predictions? are you serious? kigogo na chadema wapi na wapi?
 

Kwa hulka ya Lisu unadhan atakaa kimya?
 
Huyu JPM akiandaa mkutano bila wasanii hapati hata watu mia
Kama unapesa ya kulisha watu pilau Bure mtaani. Na pesa ya kuarika majirani kwa kuwatumia usafiri na kutembea na wasanii makubwa usifanye eti itaonekana wanajaa kwa sababu ya wasanii.

CCM wanauchumi Mkubwa nashangaa kwa nini hawamleti hata Jay Zee.

Malawi walikuwa wansmkodi hadi Komba.

Umasikini na upofu wa ubunifu wa kuongeza kipato cha chama cha chadema usilazimishe CCM wasitumie fedha zao.


Yaani nyie ndio mnaologa majirani matajiri Kisa mnakula dagaa wao kila siku maoni na figo.

Nyie ndio mnasababisha matajiri wawakimbie uswahilini. Mnataka nao wawe dini wakati wanazo.

Mchango tu ya wana chama CCM inaweza hata kumkodi trump aje aipigie kampeni ikiwa Sheria itaruhusu.


Tuache hizo bro
 
Mashekh wabambikizwa kesi za ugaidi

Utafiti: Je wajua...

Kwa miaka mitano ya magufuli hapa Tanzania
 
Ofisi ya Fatma Karume iliyolipuliwa ndo hii iliyomfukuza juzi. Halafu nilikua sijui kama polisi walishawahi kuushambulia msafara wa Lissu.
 
Ofisi ya Fatma Karume iliyolipuliwa ndo hii iliyomfukuza juzi. Halafu nilikua sijui kama polisi walishawahi kuushambulia msafara wa Lissu.
ndiyo hivyo! Kwani unaishi wapi? it seems you do not take a damn of ongoing political activities in tanzania
 
Huna utabiri.

Lissu is a natural, a gifted, an intelligent individual.

Kama bado hujaziona sifa hizi, wewe kweli ni mtabiri, maana kazi ya utabiri haihitaji kuwa na chochote kichwani.
 
Points zipi?. Mpaka apewe Desa na Amsterdam ndio aropoke. Watanzania sio wajinga.
Hata kwenye makinikia. Alikuwa anapewa videsa akiongea kwa ujasiri na mbwembwe basi watu wanamuona kama geologist Mkuu duniani
 
Matako tulia uone
 

"Matendo ya maendeleo ya jamii"
We ni mgonjwa? Maendeleo yepi ya jamii yamefanyika? Barabara au madaraja? Au ununuzi wa ndege au bwawa la umeme?
Hayo yote yalifanyika kwa kiwango kikubwa Ethiopia lakini ndio nchi inaongoza kwa watu wake kuikimbia tena kwa njia za kusikitisha.
Kwa sababu hayo sio maendeleo ya jamii
 
Kigogo yupo kwa accaunt mpya fichua tanzania. Awamu hii niya mwisho kwa kampeni tegemea mafuriko zaidi ya mikutano ya Lissu na act wazalendo.Sasa watu wataenda kuhudhuria kwa wingi sana.Weka kumbuka sawa.Ccm wanaenda kulalamika tena na muda si rafiki
 
Sisi Watanzania tulio wengi tutamchagua Rais Magufuli

Ana huruma na upendo
Upi! Huu wa kununua ndege na kutoajiri watu kwa miaka mitano. Njaa kila Kona ndo upendo huo. Kuchapa lisasi akina lisu na kupotea akina saanane ndo upendo huo! Au we mnufaika wa serikali hii ndo Mana hutaki ugali ukuponyoke kirahis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…