Uchaguzi 2020 Natabiri Baada ya likizo ya Kampeni: Wagombea wakirudi mgombea wa CHADEMA atakosa mvuto

Mimi sina chama ila nikiangalia Ccm inapendwa sana na Magufuli Kila nikiuliza mtu anasema atapigia Magufuli

Huyu Baba Magufuli ana upendo sana

Yale mengine wanwmzushia
Upi! Huu wa kununua ndege na kutoajiri watu kwa miaka mitano. Njaa kila Kona ndo upendo huo. Kuchapa lisasi akina lisu na kupotea akina saanane ndo upendo huo! Au we mnufaika wa serikali hii ndo Mana hutaki ugali ukuponyoke kirahis
 
Hivi kumbe mgombea wa chadema alikuwa na mvuto?

Kumbe yule wetu pendwa hana mvuto ndiyo maana anaandamana na kina 'suchu'?

Ina maana bila kina 'suchu' ni kapi tu na atabakia na kina chakupimbi na kina bashiri peke yake?
Kule Zanzibar baada ya mvuto wa wasanii kumpisha ahutubie wananchi hata wale walioletwa kuongeza namba walianza kuondoka uwanjani wakiwaacha wakina chakupimbi na wenzao wachache toka Bara. He is repugnant and repulsive!
 
Aliyekosa mvuto ni magufuli wenu ambae siku hizi akiwa anahutubia watu wanaondoka uwanjani
 
MaCCM akili zao azinaga akili kabisa...
Kwa kua Magufuli na CCM yake Iliojifia kukosa mvuto na kukataliwa Tanganyika na Zanzibar. Basi Samata kila mtu awe fungu la kukosa kama wao.

CCM ya Magufuli imekataliwa Tanganyika na Zanzibar na imekataliwa Duniani na Mbinguni. pambaneni na Hali zenu.

#NIYEYE MBEBA MAONO.. ✌🏽✌🏽
 
Ndo akili yenu hiyo? Malafa
 
....daah
 
Bila hawa wasanii CCM mngeumbuka sana kampeni hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…