BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Ukiniambia ni jimbo gani kwa sasa upinzani wanaweza shinda kwa hii tume silioni huwa najaribu sana kutafuta majimbo ya wapinzani kuweza kushinda kwa hii tume siyaoni kabisa labda nyie mnisaidie.
Kwa hii tume sijui ni jimbo la CCM kupoteza halipo sioni.
Kumbuka kwa yale majimbo ambayo wabunge wake hawakubaliki kwa sasa huenda wakipigwa chini kura za maoni CCM na kuingiza nguvu mpya. Sioni jimbo la kuachiwa.
Kwamba Devota Minja anaweza mshinda Abood pale Morogoro?
Hawa baada ya uchaguzi watarudi CHADEMA kwa kasi ya kutisha na watawalaumu sana viongozi wao wakina Zitto Kabwe kwa kuwaingiza cha kike.
Ni kweli CHADEMA inapita kwenye tanuru la moto ila baada ya uchaguzi inaenda kuimarika mara dufu ya hii ya sasa.
Naomba nitunze huu uzi kwa refelence