Heater
Senior Member
- May 28, 2019
- 168
- 353
Ninakila sababu ya kuamini katika ili ikiwemo...
- Naamin Wabunge wote machachari wa Upinzani hawatorudi bungeni sababu Tume si huru, lakin wenzao Walishaahidi kutumia Dola kubaki madarakani.
- Pia Mheshimiwa wetu nae anapenda sana kutukuzwa.
Kwaio Wabunge watakaoingia mjengoni wengi watatoka CCM na wale wapinzani wanaojua kujenga hoja hatutawaon tena....... Kwakua bunge ilo kazi yake kubww itakua ni kusifu na kuabudu basi hata Mheshimiwa ataona n wakati muafaka wa kila mtu kuona namna watu wanavyolisujudu jina lake..
Siwaoni kabisa wapinzani mashuhuri wakirudi bungeni sababu sio wapiga kura wao watakaoamua ushindi wao..
2021 Bunge la kusifu na kuabudu litarudi live