Nilienda Zanzibar kufanya utafiti wa uchaguzi wa 2025. Nilikaa karibu miezi 4 kabla sijarudi Tanzania bara, lengo likiwa ni kuangalia siasa za upinzani Zanzibar. Kila uchaguzi hufanya hivyo.
Nilichogundua
Katika mwaka huu, tangu siasa Zanzibar zilipoanza, CCM itashinda kwa kishindo cha juu sana ambacho hakijawahi kutokea katika siasa za Zanzibar.
Sababu:
Kwa ujumla, nchi imetulia sana.
Nilichogundua
Katika mwaka huu, tangu siasa Zanzibar zilipoanza, CCM itashinda kwa kishindo cha juu sana ambacho hakijawahi kutokea katika siasa za Zanzibar.
Sababu:
- ACT Wazalendo kwa sasa kama hawapo, washakata tamaa na siasa zao hazina mvuto.
- Wananchi hivi sasa ni tofauti na miaka ya nyuma; kila mtu amejikita kwenye shuguli zake.
- Wananchi wa kulinda kura hawapo tena, na joto la uchaguzi ni dogo (2°C).
- Si Jangombe, Mtendeni, Vuga, Nungwi, Tumbatu, Kinuni ambao hapo awali walikuwa ngome za ACT; sasa watu wote huko wanafanya shuguli zao na hawaangalii ACT. Enzi za siasa ambapo magari ya diraya yakipita zilikuwa muhimu, sasa mambo yamekuwa shwari sana.
- Mashule yaliyojengwa na Mwinyi yameondoa kabisa uelewa wa ACT kwa baadhi ya wananchi, akiwemo Jusa.
- Masoko mapya yamedidimiza hasa ushawishi wa Mhe. Omo.
Kwa ujumla, nchi imetulia sana.