Taja mtaa ambao siujuiWewe Zanzibar unaijua au unaropoka tu ? Pole sana
Huyu haielewi vizuri Zanzibar.Wewe Zanzibar unaijua au unaropoka tu ? Pole sana
Kuijua Zanzibar sio mitaa ni siasa Zanzibar huyo mwinyi hatakiwi hata na hao baadhii ya vigogo wa ccm mfano Baraka shamte Ali karume na hao wanamakundi yao unawavunjia watu majumba kupisha fly over mfano kule Amani unawapa milioni 6 halafu unataka wakupe kuraTaja mtaa ambao siujui
Inaonekana wewe huwajui vizuri wanzanzibari ccm wanzanzibari hawaitaki mbona hilo linajuilikanaAct ni ccm ndio maana wazanzibar wameipuuza. Nyako kabisa act. Hawapati wabunge watano.