Natabiri fainali ni Cape Verde vs Ivory Coast, Cape Verde anabeba Ndoo Afcon 2024

Natabiri fainali ni Cape Verde vs Ivory Coast, Cape Verde anabeba Ndoo Afcon 2024

Nigeria wako vzr sana....na SA wako vyema sanaaa
 
Mpaka Sasa mashindano hayo,

Timu za Equatorial Guinea, Cape Verde na South Africa ndio wamecheza/wanacheza soka la kuvutia,soka la burudani...!
 
Ivory coast timu Yao si nzuri Sana ila Nyota Yao (bahati) Inawaka Sana.
Mali walistahili kushinda mechi, walifanya Kila kinacho takiwa kufanya kwenye mchezo wa soka ila vyote viligoma.

Ule msemo wa Jitihada hazi izidi kudra ya Mwenyezi Mungu umedhihirika katika mechi hii.
 
Ivory coast wanabebwa Hadi KERO mi naona Bora CAF wawape Tu Kombe wasitusumbue
 
Haya Cape Verde tayari out, lete utabiri mwingine Sheikh Yahya Hussein wa Tabata relini. Mimi natabiri fainali wanacheza Cote D'Ivoire na South Africa lakini kombe halitoki Abidjan.
 
Back
Top Bottom