Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kwa namna afcon inavoendelea na kwa kuangalia uwezo wa mataifa yaliyobakia, Cape Verde anakwenda kubeba hii ndoo, Mark my words
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapopo wanalibeba hili kombe hutaki unaachaKwa namna afcon inavoendelea na kwa kuangalia uwezo wa mataifa yaliyobakia, Cape Verde anakwenda kubeba hii ndoo, Mark my words
Kwa namna afcon inavoendelea na kwa kuangalia uwezo wa mataifa yaliyobakia, Cape Verde anakwenda kubeba hii ndoo, Mark my words
Nigeria umewaona ? Cape verde leo anatolewa na Mamelod Sundowns .Kwa namna afcon inavoendelea na kwa kuangalia uwezo wa mataifa yaliyobakia, Cape Verde anakwenda kubeba hii ndoo, Mark my words
Analo mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]HUna jipya
Ivory coast wanabebwa Hadi KERO mi naona Bora CAF wawape Tu Kombe wasitusumbueIvory coast timu Yao si nzuri Sana ila Nyota Yao (bahati) Inawaka Sana.
Mali walistahili kushinda mechi, walifanya Kila kinacho takiwa kufanya kwenye mchezo wa soka ila vyote viligoma.
Ule msemo wa Jitihada hazi izidi kudra ya Mwenyezi Mungu umedhihirika katika mechi hii.
markedKwa namna afcon inavoendelea na kwa kuangalia uwezo wa mataifa yaliyobakia, Cape Verde anakwenda kubeba hii ndoo, Mark my words