Natabiri Kocha wa Yanga SC Nabi Kufukuzwa kwa Mwarabu Jumapili au kwa Mkapa Jumapili ijayo

iIle uliyotoka Kutiwe ile Mimba yako.
Aibu imekushikaje mbumbumbu wewe na Mtateseka sana kumpakazia mtunisi wa watu, kwa taarifa yenu mwamba bado yumo sana . Ila siyo mbaya ni haki yenu mumchukie kwenye mechi 8 kawadofyoa mimba 4 mkabahatisha mechi aliyopewa red. Ni haki yenu mjitemee mate si kwa mimba hizo
 
Wewe unavyopewa Mimba hovyo na Waume za Watu huku wengine ukiwabambikia Watoto Aibu huwa haikushiki?

Pumbavu.
 
Hakuna kocha wa kudumu kwenye mpira wetu, wala halihitaji utabiri hata kocha mwenyewe anaweza kuondoka kwa kufuata offer kubwa zaidi, Mgunda anaweza kuwa wa kwanza kufukuzwa Simba akamuacha Nabi Yanga.

Tuache tabia za kichawi.

Nabi hana mbinu babaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yule kimataifa HANA MBINU...huwezi ukawa ugenini unacheza kama uko kwako yaani mipasi miingi unacheza kwako tuuu wenzio wanakuachia soka unapossess weeeeeh wao wakichukua mpira pasi ndefu goli wanarudi zao kuzuia..
 
naamini umeyatanua makalio yako kwa uongo
 
Www
Endeleeni tu Kunidharau na Kunichukulia poa GENTAMYCINE hapa JamiiForums. Nilichobarikiwa nacho na Mwenyezi Mungu ni cha Kutukuka na hakina mfano.
you got inside information....atakaekubishia tena mwehu na zwazwa wa kiwango cha utopolo
 
Nabi safari ipo kinachogomba hapo ni tarehe tu,wataficha ficha wee lakini mwisho wa siku watatangaza wenyewe.
 
Mtabiri vipi tupe muendelezo
 
Utabiri maandazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…