Kwanza, nimshukuru mheshimiwa rais mbeba maono Samia Suluhu. Mama anaupiga mwingi.
Ni msomi hakuna mfano. Natabiri kuwa atapewa PhD nyingine ya kuleta amani, mshikamano na usalama.
Kama ni andiko, basi lake litakuwa ni namna ya kumkamata, kumfungulia mashitaka na kumhujumu Tundu Lissu asitungue ulaji wake.