Natabiri: Luka Modric Mchezaji Bora wa Dunia 2017/2018

Mkuu hiyo ni ya mchezaji bora kombe la dunia....Nasemea ya mchezaji bora wa Dunia.
Maudhui kwa sasa yalikuwa ni kombe la dunia. Hata kama hakutaja "kombe la" sisi wengine tulimwelewa hivyo. Huo sasa ndio mwanzo wa kupokea hizo tuzo za mchezaji bora wa dunia.
 
Mkuu hiyo ni ya mchezaji bora kombe la dunia....Nasemea ya mchezaji bora wa Dunia.
sasa una fikiri atakuwa nani messi, NEYMAR siyo? ? basi waza basi hata griezman au modric walopeleka nchi zao final ya fifa world cup ..
 
Jamaa alikuwa anaonyesha unyenyekevu wa hali ya juu , utafikiri kasomea seminary. Hata rafu z kijinga kijinga alikuwa hachezi kabisa lakini bado aliwez kufikia mafanikio yalio bora
 
Jamaa alikuwa anaonyesha unyenyekevu wa hali ya juu , utafikiri kasomea seminary. Hata rafu z kijinga kijinga alikuwa hachezi kabisa lakini bado aliwez kufikia mafanikio yalio bora
Luca alistahili hii kitu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…