Natabiri: Luka Modric Mchezaji Bora wa Dunia 2017/2018

Natabiri: Luka Modric Mchezaji Bora wa Dunia 2017/2018

Natabiri: Messi anachukua Ballon d'or inayofuata baada ya hii 🙂🙂🙂
 
Hakuna cha Ronaldo wala Messi, ni haki yake anastahili.

3. Messi
2.Ronaldo
1.Modric


Bollon Dor for Modric
Mkuu umetisha tutabirie mechi ya kulwa na doto wa kariakoo matokeo yake
 
Naona utabiri wako umetimia mkuu.
 
Back
Top Bottom