Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Huko mbali, hapa katikati wata pata surprise ya ajabu.29/10/2025 hawataamini
Mbali sana hiyo nakuapia.29/10/2025 hawataamini
samia yuko kwenye kampeni mjuba, hamtaki mnamtaka nani?Baada ya kuona vurumai lililotokea usiku wa leo na chap hatua za haraka zimechukuliwa ikiwemo kuwatengua baadhi ya staffs na kuongeza mwendokasi ,ili kupunguza mihemko kwa wananchi.
Kiuhalisia tunaweza kusema sasa wameshaanza kuzibuka masikio maana ilikuwa kila wakiambiwa wanatia pamba masikioni.
Watanzania wameshajua namna ya kudai haki zao pale wanapoona wanadhulumiwa au kupokwa.
Watanzania sio waoga ila walikuwa wanataka pakuanzia na wameshapata sehemu ya kuanzia.
Zilianza rasharasha kwa watanzania kutuma video wakiwa ndani ya mwendo kasi wakiimba hawaitaki CCM wala huyo Samia wao, walidhani utani ,sasa jana wameleta kionjo kidogo.
Wananchi wameshaanza kuhamasika na kama hatua za maridhiano zisipochukuliwa mapema mengi yataibuka zaidi ya hapa.
Samia tuachie tanganyika yetu hatukutaki.
Arudi kwao kizimkazi kwanzasamia yuko kwenye kampeni mjuba, hamtaki mnamtaka nani?
nyie watu! Msiliamshe dude!Huko mbali, hapa katikati wata pata surprise ya ajabu.
🤣🤣🤣🤣🤣Serikali imekuwa kama ndimu, haitoi maji mpaka ibondwe
🤣🤣🤣🤣🤣Serikali imekuwa kama ndimu, haitoi maji mpaka ibondwe
Hii ni muhimu sanaHuko mbali, hapa katikati wata pata surprise ya ajabu.
mjuba mbona kama unatania! Ina maana huoni nyomi ya kijani kwenye mikutano yake ya kampeni?Anguko la ccm rasmi limewadia.