Ile geresha tu yani kanyaboyamjuba mbona kama unatania! Ina maana huoni nyomi ya kijani kwenye mikutano yake ya kampeni?
nyie watu! Msiliamshe dude!
Kwamba CCM ilikuwa inawaogopa viongozi wa UDART kiasi cha kutumia wafanya vurugu?..waliofanya vurugu wamepangwa na Ccm. Lengo lao lilikuwa viongozi wa Udart waondolewe.
Kwamba CCM ilikuwa inawaogopa viongozi wa UDART kiasi cha kutumia wafanya vurugu?
Umetoa maoni si fact....Ccm wana akili sana, na mbinu za kila aina.
Umetoa maoni si fact..
Huna uthibitisho juu ya ulichokiandika, inabaki kuwa opinion ambapo kila mmoja anaweza kuja na maoni yake..
Mkuu we hujui tu ,wale watu vile viburi ni nje tu ,ndani walishapoteza matumaini kitaambo ,tena na hizi vurugu vurugu zinazotokea ndiyo zinawalaza macho hatari .mjuba mbona kama unatania! Ina maana huoni nyomi ya kijani kwenye mikutano yake ya kampeni?