Kwa Madrid, City atalala chali. Jamaa hawanaga utani na kitu kinachoitwa UEFASalaam.
Kwa hali ya ako la ulaya jinsi ilivyo kwa sasa, hakuna ubishi tena kuwa timu ya mpira ya Manchester city ndo inakikosi bora bora zaidi pale barani ulaya hivyo natabiri kuwa watachukua ndoo zote 3;
1.UEFA
2.EPL
3.FA
Sijaona timu ya kuizuia mancity kwa msimu huu ,sio arsenal ,wala madrid,hata man united hana msuli huo.
Mpaka sasa manchester city amerhibitisha uwezo wake kwa kufunga timu kubwa karibia zote alokutana nazo;
Manchester United kapigwa -6
Arsenal kapigwa- 4
Liverpool kapigwa 4
Chelsea kapigwa 4
Bayern munchen kapigwa 3
Timu nyingine zijipqnge kwa next season. Hii ya mwaka huu ni ya wananchi tu.
We jamaa n tapeliSalaam.

Naungana na wewe.Kwa Madrid, City atalala chali. Jamaa hawanaga utani na kitu kinachoitwa UEFA
Jamaaa anaanza uganga wakati mtu anaonyesha Kupona.😂😂Shobo hz.Ulikua wapi kusema haya siku zote? Yani kabla ya msimu kuchanganya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaaa anaanza uganga wakati mtu anaonyesha Kupona.[emoji23][emoji23]
em tukumbushe kwanza iyo UEFA man cty anakutana na nani ktk hatua aliyofikia,then tuanze hapo kujadili huu mjadalaSalaam,
Kwa hali ya ako la ulaya jinsi ilivyo kwa sasa, hakuna ubishi tena kuwa timu ya mpira ya Manchester city ndo inakikosi bora bora zaidi pale barani ulaya hivyo natabiri kuwa watachukua ndoo zote 3.
1. UEFA
2. EPL
3. FA
Sijaona timu ya kuizuia mancity kwa msimu huu ,sio arsenal ,wala madrid,hata man united hana msuli huo.
Mpaka sasa manchester city amerhibitisha uwezo wake kwa kufunga timu kubwa karibia zote alokutana nazo;
Manchester United kapigwa -6
Arsenal kapigwa- 4
Liverpool kapigwa 4
Chelsea kapigwa 4
Bayern munchen kapigwa 3
Timu nyingine zijipqnge kwa next season. Hii ya mwaka huu ni ya wananchi tu.
hicho kinachoitwa UEFA ndio nini? teh teh tehKwa Madrid, City atalala chali. Jamaa hawanaga utani na kitu kinachoitwa UEFA
unasema nini weweMpira wanaocheza Manchester city PSG na Barcelona sio wakushinda trophy ule ni wa title tu wanacheza mpira kama chandimu hawana mbinu hawaheshimu wapinzani wanafunguka tu ni ngumu Manchester city kushinda UEFA champions league hata ile mechi ya juzi dhidi ya Bayern's ukitoa yale makosa ya beki wao ambaye aliigharimu team Bayern's wangekuwa na striker kama Lewandowski man city alikuwa anakufa maana Bayern's walikosa clear chances kama 7 hivi na Guardiola tangu aondoke Barcelona hajawahi kushinda UEFA .
Jana ilikua mbuzi cup?Kwa Madrid, City atalala chali. Jamaa hawanaga utani na kitu kinachoitwa UEFA