Natabiri Man City kuwa bingwa wa makombe matatu msimu huu

Natabiri Man City kuwa bingwa wa makombe matatu msimu huu

Kaa kwa kutulia na kuzidisha maombi.

Kipindi kile mlijua mtachapwa na Chelsea?
Yale yalee, wazee wa historia.
Tulifungwa na chelsea sababu ya ujuaji wa pep, watu tumekaa tunashangaa line up imetoka hakuna DM, Rodri na fernandinho wote benchi, kante akajimilikisha dimba.
 
Yale yalee, wazee wa historia.
Tulifungwa na chelsea sababu ya ujuaji wa pep, watu tumekaa tunashangaa line up imetoka hakuna DM, Rodri na fernandinho wote benchi, kante akajimilikisha dimba.
Zidisheni maombi asifanye ujuaji tena.
 
Mpira wanaocheza Manchester city PSG na Barcelona sio wakushinda trophy ule ni wa title tu wanacheza mpira kama chandimu hawana mbinu hawaheshimu wapinzani wanafunguka tu ni ngumu Manchester city kushinda UEFA champions league hata ile mechi ya juzi dhidi ya Bayern's ukitoa yale makosa ya beki wao ambaye aliigharimu team Bayern's wangekuwa na striker kama Lewandowski man city alikuwa anakufa maana Bayern's walikosa clear chances kama 7 hivi na Guardiola tangu aondoke Barcelona hajawahi kushinda UEFA .
Hello
 
Kelele gani Guardiola team anazofundisha hata ukimpa naby au mgunda anachua UEFA champions league.
Mara, pep hawezi kubeba uefa kwa mpira wake, sasahivi yamekua hayo tena, wakati unasema hawezi kubeba hukujua kua ana hiyo timu ambayo hata nabi ataweza kubeba uefa?
Kubali umekua proved wrong bro.
 
Hawa ndio wale wanaona mtu anapakwa mafuta makalioni halafu anatabiri anataka kuingiliwa
 
Njoo dada
It seems you have psychological problems you to argue with facts and not to insult others remember 20/80 rule my friend you have to change it because it's not a right way to reason.
 
Back
Top Bottom