Kacheze hiyo fainali sasaLos blancos hawana mbwembwe kwenye UCL wawe wabovu au vyema wao wana chapa tu .tukutane final june 10 instabul
Real madrid vs whoever
Ushuzi mtupuMadrid bingwa uefa
Arsenal bingwa Epl
Ngoja tuwaletee na gundi muungane vizuri.Naungana na wewe.
Tatizo mnakaririMzee Ni epl tu Sana na fa wasahau UEFA ,UEFA Ni la madrada
Jana kalambwa ngapi vile?🤣🤣😜Madrid hawatakubali kuliacha kombe kizembe
Kwa Madrid, City atalala chali. Jamaa hawanaga utani na kitu kinachoitwa UEFA
Kaa kwa kutulia na kuzidisha maombi.Tatizo mnakariri
Lile la nyumbani lililobebwa na United nalo atalibeba?Hawa Man City wanabeba kila kitu msimu huu.
Duh uchawi kweli upoJana kalambwa ngapi vile?🤣🤣😜
Yale yalee, wazee wa historia.Kaa kwa kutulia na kuzidisha maombi.
Kipindi kile mlijua mtachapwa na Chelsea?
Zidisheni maombi asifanye ujuaji tena.Yale yalee, wazee wa historia.
Tulifungwa na chelsea sababu ya ujuaji wa pep, watu tumekaa tunashangaa line up imetoka hakuna DM, Rodri na fernandinho wote benchi, kante akajimilikisha dimba.
Kwa hyo Manchester city kachukua UEFA champions league ficha ujinga wako kidogo.unasema nini wewe
HelloMpira wanaocheza Manchester city PSG na Barcelona sio wakushinda trophy ule ni wa title tu wanacheza mpira kama chandimu hawana mbinu hawaheshimu wapinzani wanafunguka tu ni ngumu Manchester city kushinda UEFA champions league hata ile mechi ya juzi dhidi ya Bayern's ukitoa yale makosa ya beki wao ambaye aliigharimu team Bayern's wangekuwa na striker kama Lewandowski man city alikuwa anakufa maana Bayern's walikosa clear chances kama 7 hivi na Guardiola tangu aondoke Barcelona hajawahi kushinda UEFA .
Punguza kelele bana.Ilitakiwa Manchester city wachukue UEFA champions ndio uniite kwani kufika final ndio kuchukua UEFA.
Kelele gani Guardiola team anazofundisha hata ukimpa naby au mgunda anachua UEFA champions league.Punguza kelele bana.
Mara, pep hawezi kubeba uefa kwa mpira wake, sasahivi yamekua hayo tena, wakati unasema hawezi kubeba hukujua kua ana hiyo timu ambayo hata nabi ataweza kubeba uefa?Kelele gani Guardiola team anazofundisha hata ukimpa naby au mgunda anachua UEFA champions league.
Njoo dadaIlitakiwa Manchester city wachukue UEFA champions ndio uniite kwani kufika final ndio kuchukua UEFA.
It seems you have psychological problems you to argue with facts and not to insult others remember 20/80 rule my friend you have to change it because it's not a right way to reason.Njoo dada