Natabiri mapema tu hapa kuwa Kipindi cha Michezo cha Wasafi FM Sports Arena cha Jumatatu 7 Septemba 2020 Mada Kuu itakuwa Kigangwala na Mo Dewji pekee

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na hivi Watangazaji wake Waandamizi akina Maulid Kitenge na Yusuph Mkule bila kuwasahau na 'Wanafiki' wao wakubwa Kiutangazaji akina George Job na Musa Kawambwa kwa pamoja wote wakiwa Mashabiki wa Yanga SC hiyo itakuwa Siku yao ya 'Kuichokonoa' na 'Kuichamba' mpaka 'Kuichafua' Simba SC hasa Mwekezaji wao Mo Dewji baada ya Kigwangala 'Kuliamsha' Dude.

Najua kuwa Simba SC itashinda dhiidi ya Ihefu FC Kesho ( Leo ) ila katika Kipindi chao Ushindi hautasemwa bali ni Kudhihakiwa tu Simba SC na Mo.
 
Ubabaishaji wa MO lazima uzungumzwe ata nyinnyi vibaraka wa Beberu MO mjue watu hawajalala wanaona kila mnalo lifanya. Haiwezekani vituo vya redio viache kuzungumza ishu ya MO ili kuwaogopa nyie vibaraka. MO ni mjanjamjanja na watu wanalifahamu ilo Ila Wana mtahadharisha kwamba anayo yafanya wanamuona asifikiri hawamuoni.
 
Maswal ya kujadili michezo saa 3 asubuh pia inaonyesha pia sisi ni taifa la namna gani..haiwezekan redio zote ziwe na vipindi vya michezo saa 3 asubuh.. af wanaongelea umbea tuu...
 
Wanasiasa wa hii nchi ni kama vimada, ukimsaidia anakaa kimya ila ukigoma kumsaidia anaweka bifu.

Kigwangala hana sifa ya kuwa waziri wala naibu waziri, kila kukicha ni kashfa kwenda mbele. Wakubwa wanajikausha pindi kikinuka. Alikua anatumia ndege za TANAPA kufanya safari zake na watu wake binafsi kuwapeleka arusha na burigi kula bata. Alisema amewalipa wasanii kutangaza utalii (Diamond na menejment yake walikana kupokea hata senti moja na walisema wamejitolea bure kwa uzalendo - ila document zilionesha wamepokea).

Kawaletea figisu na fitna wawekezaji kwenye sekta ya utalii kisa waligoma kumuunga mkono (Kwa hali na mali), wapo waliowekwa ndani kwa kesi za uhujumi uchumi bila sababu (Kampuni wa uwindishaji na wawindishaji wasomi kwa sababu zilizotumika kuwa na nyara za serikali - trophy na silaha za watalii zilizolipiwa kihalali zinazosubiri kusafirishwa).

Hakuna hata hifadhi moja ya taifa inayotangaza kwenye website wala sehemu yoyote ile "KIASI/GHARAMA" za mtalii wa ndani anazotakiwa kulipa pindi akitaka kwenda kufanya utalii wa ndani. Nchi itakuza vipi utalii wa ndani??? Muulize mtanzania yoyote kama anajua gharama za kupanda mlima kilimanjaro au kwenda kutalii serengeti kama anajua!!! Gharama utakutana nazo pindi ukifika getini unataka kuingia kwenye hifadhi.

Jamaa usukuma ndio unambeba kwa bwana mkubwa, kama alivyobebeka "MTOTO PENDWA".
 
Na hivi Watangazaji wake Waandamizi akina Maulid Kitenge na Yusuph Mkule bila kuwasahau na 'Wanafiki' wao wakubwa Kiutangazaji akina George Job na Musa Kawambwa kwa pamoja wote wakiwa Mashabiki wa Yanga SC hiyo itakuwa Siku yao ya 'Kuichokonoa' na 'Kuichamba' mpaka 'Kuichafua' Simba SC hasa Mwekezaji wao Mo Dewji baada ya Kigwangala 'Kuliamsha' Dude.

Najua kuwa Simba SC itashinda dhiidi ya Ihefu FC Kesho ( Leo ) ila katika Kipindi chao Ushindi hautasemwa bali ni Kudhihakiwa tu Simba SC na Mo.
Na wamuulize huyo Kingwa kama sio bodaboda kwa nini hajahoji siku zote? Na je alishawahi kuchangia timu hata sh 500 tu?
Na kwa nini anaona bora akope hizo boda kuliko kununua kwa mafao yake aliyopata? Na je hizo b20 anataka zifanye nini?
 
Na hizo boda alizokuwa anataka kukopa za kwenda kuwapa nani wakati huu wa kampeni?! Hapa Mo kawaamsha Takukuru kama wako macho lakini.
 
Kigwa hakutaka pikipiki bure, alitaka mkopo. Mudi vile vile anakopa kwenye ma Benki mbona yeye mabenki ayaja mwanika. Mudi anatakiwa ajitetee kwa Wana Simba bila kuingiaza bifu. Haiwezekani kampuni ya umma uka mleta house girl wako aje aiongoze wakati wewe ni mmiliki mwenza wa kampuni iyo.
Ata Kama house girl wako amesoma sana lakini anatakiwa apitie mchakato waki weredi wa ajira unao tumiwa na makampuni yanayo endeshwa kisasa.
Wana Simba Wana lalamika kwakua Mudi kwa kutumia nguvu ya pesa amesha badili Logo na Kuna jezi ametengeneza ambazo ki utaratibu hazina rangi ya Simba Ila amesha ziingiza sokoni zikiwa na logo ya Simba.
 
Kigwa hakutaka pikipiki bure, alitaka mkopo. Mudi vile vile anakopa kwenye ma Benji mbona yeye mabenki ayaja mwanika. Mudi anatakiwa ajitetee kwa Wana Simba bila kuingiaza bifu. Haiwezekani kampuni ya umma uka mleta house girl wako aje aiongoze wakati wewe ni mmiliki mwenza wa kampuni iyo.
Ata Kama house girl wako amesoma sana lakini anatakiwa apitie mchakato waki weredi wa ajira unao tumiwa na makampuni yanayo endeshwa kisasa.
Wana Simba Wana lalamika kwakua Mudi kwa kutumia nguvu ya pesa amesha badili Logo na Kuna jezi ametengeneza ambazo ki utaratibu hazina rangi ya Simba Ila amesha ziingiza sokoni zikiwa na logo ya Simba.
Mishahara unalipa wewe? Kwa hiyo atumie tu hela zake na wala yeye asipate faida? Kingala akiachiwa team kama tu boda anakopa ataweza kupandisha wachezaji ndege?
 
Kigwa hakutaka pikipiki bure, alitaka mkopo. Mudi vile vile anakopa kwenye ma Benki mbona yeye mabenki ayaja mwanika. Mudi anatakiwa ajitetee kwa Wana Simba bila kuingiaza bifu. Haiwezekani kampuni ya umma uka mleta house girl wako aje aiongoze wakati wewe ni mmiliki mwenza wa kampuni iyo.
Ata Kama house girl wako amesoma sana lakini anatakiwa apitie mchakato waki weredi wa ajira unao tumiwa na makampuni yanayo endeshwa kisasa.
Wana Simba Wana lalamika kwakua Mudi kwa kutumia nguvu ya pesa amesha badili Logo na Kuna jezi ametengeneza ambazo ki utaratibu hazina rangi ya Simba Ila amesha ziingiza sokoni zikiwa na logo ya Simba.
Senzo alipitia mchakato gani wa ajira haya ni mambo ya ndani ya simba mtuachie wenyewe nyie angaikeni na yenu.
 
Sio Wasafi TV tu leo mchana saa Saba Clouds wataanza nayo wataichambua kwa mapana ,yaani wiki yote Radio zote mjadala watakao anza nao ni Mudi na mwenzake Hamis.

Mo tatizo lake ameact kama Manara mitandaoni,yy angemchukulia Kigwangalla kama mshabiki na hizo hoja zake wangezijibu viongozi wengine wa Simba.

Yeye kaamua kuropoka hatimae mjadala mkubwa,faida tunapata sisi wana wa Jangwani.
 
Kigwa hakutaka pikipiki bure, alitaka mkopo. Mudi vile vile anakopa kwenye ma Benki mbona yeye mabenki ayaja mwanika. Mudi anatakiwa ajitetee kwa Wana Simba bila kuingiaza bifu. Haiwezekani kampuni ya umma uka mleta house girl wako aje aiongoze wakati wewe ni mmiliki mwenza wa kampuni iyo.
Ata Kama house girl wako amesoma sana lakini anatakiwa apitie mchakato waki weredi wa ajira unao tumiwa na makampuni yanayo endeshwa kisasa.
Wana Simba Wana lalamika kwakua Mudi kwa kutumia nguvu ya pesa amesha badili Logo na Kuna jezi ametengeneza ambazo ki utaratibu hazina rangi ya Simba Ila amesha ziingiza sokoni zikiwa na logo ya Simba.
Sawa tume muachia kigwagala atue utopolo kwa ada ya bure kabsa ila aje asaidiane na zenzo na hatimae yang ipige hatua
 
Na hivi Watangazaji wake Waandamizi akina Maulid Kitenge na Yusuph Mkule bila kuwasahau na 'Wanafiki' wao wakubwa Kiutangazaji akina George Job na Musa Kawambwa kwa pamoja wote wakiwa Mashabiki wa Yanga SC hiyo itakuwa Siku yao ya 'Kuichokonoa' na 'Kuichamba' mpaka 'Kuichafua' Simba SC hasa Mwekezaji wao Mo Dewji baada ya Kigwangala 'Kuliamsha' Dude.

Najua kuwa Simba SC itashinda dhiidi ya Ihefu FC Kesho ( Leo ) ila katika Kipindi chao Ushindi hautasemwa bali ni Kudhihakiwa tu Simba SC na Mo.

Uzuri Maulid Kitenge hatokuwepo studio, yupo Marekani kafatilia njegere zake za gridi ya Taifa
 
Back
Top Bottom