GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tafrani lote la Kigwangwala ni kunyimwa Mkopo wa Bodaboda tu ndiyo akaamua kupiga Vijembe.
Eti mo.kashaacha siasa. Wakati timu ipo chini ya ccm.inaatumika.ktk.kampeni.sasa hiviKigwangala aache ubbwege hizo pikipiki akaombe kwingine.. sasa hivi MO keshaacha siasa yupo bize kuwashikisha adabu vyura!!
Eti mo.kashaacha siasa. Wakati timu ipo chini ya ccm.inaatumika.ktk.kampeni.sasa hivi
Eti mo.kashaacha siasa. Wakati timu ipo chini ya ccm.inaatumika.ktk.kampeni.sasa hivi
Na wamuulize huyo Kingwa kama sio bodaboda kwa nini hajahoji siku zote? Na je alishawahi kuchangia timu hata sh 500 tu?Na hivi Watangazaji wake Waandamizi akina Maulid Kitenge na Yusuph Mkule bila kuwasahau na 'Wanafiki' wao wakubwa Kiutangazaji akina George Job na Musa Kawambwa kwa pamoja wote wakiwa Mashabiki wa Yanga SC hiyo itakuwa Siku yao ya 'Kuichokonoa' na 'Kuichamba' mpaka 'Kuichafua' Simba SC hasa Mwekezaji wao Mo Dewji baada ya Kigwangala 'Kuliamsha' Dude.
Najua kuwa Simba SC itashinda dhiidi ya Ihefu FC Kesho ( Leo ) ila katika Kipindi chao Ushindi hautasemwa bali ni Kudhihakiwa tu Simba SC na Mo.
Mishahara unalipa wewe? Kwa hiyo atumie tu hela zake na wala yeye asipate faida? Kingala akiachiwa team kama tu boda anakopa ataweza kupandisha wachezaji ndege?Kigwa hakutaka pikipiki bure, alitaka mkopo. Mudi vile vile anakopa kwenye ma Benji mbona yeye mabenki ayaja mwanika. Mudi anatakiwa ajitetee kwa Wana Simba bila kuingiaza bifu. Haiwezekani kampuni ya umma uka mleta house girl wako aje aiongoze wakati wewe ni mmiliki mwenza wa kampuni iyo.
Ata Kama house girl wako amesoma sana lakini anatakiwa apitie mchakato waki weredi wa ajira unao tumiwa na makampuni yanayo endeshwa kisasa.
Wana Simba Wana lalamika kwakua Mudi kwa kutumia nguvu ya pesa amesha badili Logo na Kuna jezi ametengeneza ambazo ki utaratibu hazina rangi ya Simba Ila amesha ziingiza sokoni zikiwa na logo ya Simba.
Senzo alipitia mchakato gani wa ajira haya ni mambo ya ndani ya simba mtuachie wenyewe nyie angaikeni na yenu.Kigwa hakutaka pikipiki bure, alitaka mkopo. Mudi vile vile anakopa kwenye ma Benki mbona yeye mabenki ayaja mwanika. Mudi anatakiwa ajitetee kwa Wana Simba bila kuingiaza bifu. Haiwezekani kampuni ya umma uka mleta house girl wako aje aiongoze wakati wewe ni mmiliki mwenza wa kampuni iyo.
Ata Kama house girl wako amesoma sana lakini anatakiwa apitie mchakato waki weredi wa ajira unao tumiwa na makampuni yanayo endeshwa kisasa.
Wana Simba Wana lalamika kwakua Mudi kwa kutumia nguvu ya pesa amesha badili Logo na Kuna jezi ametengeneza ambazo ki utaratibu hazina rangi ya Simba Ila amesha ziingiza sokoni zikiwa na logo ya Simba.
Sawa tume muachia kigwagala atue utopolo kwa ada ya bure kabsa ila aje asaidiane na zenzo na hatimae yang ipige hatuaKigwa hakutaka pikipiki bure, alitaka mkopo. Mudi vile vile anakopa kwenye ma Benki mbona yeye mabenki ayaja mwanika. Mudi anatakiwa ajitetee kwa Wana Simba bila kuingiaza bifu. Haiwezekani kampuni ya umma uka mleta house girl wako aje aiongoze wakati wewe ni mmiliki mwenza wa kampuni iyo.
Ata Kama house girl wako amesoma sana lakini anatakiwa apitie mchakato waki weredi wa ajira unao tumiwa na makampuni yanayo endeshwa kisasa.
Wana Simba Wana lalamika kwakua Mudi kwa kutumia nguvu ya pesa amesha badili Logo na Kuna jezi ametengeneza ambazo ki utaratibu hazina rangi ya Simba Ila amesha ziingiza sokoni zikiwa na logo ya Simba.
Na hivi Watangazaji wake Waandamizi akina Maulid Kitenge na Yusuph Mkule bila kuwasahau na 'Wanafiki' wao wakubwa Kiutangazaji akina George Job na Musa Kawambwa kwa pamoja wote wakiwa Mashabiki wa Yanga SC hiyo itakuwa Siku yao ya 'Kuichokonoa' na 'Kuichamba' mpaka 'Kuichafua' Simba SC hasa Mwekezaji wao Mo Dewji baada ya Kigwangala 'Kuliamsha' Dude.
Najua kuwa Simba SC itashinda dhiidi ya Ihefu FC Kesho ( Leo ) ila katika Kipindi chao Ushindi hautasemwa bali ni Kudhihakiwa tu Simba SC na Mo.
Uzuri Maulid Kitenge hatokuwepo studio, yupo Marekani kafatilia njegere zake za gridi ya Taifa