Mechi ya Kesho suluhu tena 2-2...Waasalaaaam Jf
Kichwa cha thread hii chajieleza.
Natabiri kuwa kuna timu kesho wakati wa mechi ya watani itazua vurugu .
Kuna mtani mmoja atacheza rafu sana, nyingine zitapelekea kusababisha penati na hivyo kubugizwa goli za kutosha kwa sababu ya panic na baada ya mtani huyo kubugia goli za kutosha ataamua kuleta fujo ila atatulizwa na mpira utaendelea lakini kishingo upande na utaishilizia kwa amani[emoji41]
time will tellWaasalaaaam Jf
Kichwa cha thread hii chajieleza.
Natabiri kuwa kuna timu kesho wakati wa mechi ya watani itazua vurugu .
Kuna mtani mmoja atacheza rafu sana, nyingine zitapelekea kusababisha penati na hivyo kubugizwa goli za kutosha kwa sababu ya panic na baada ya mtani huyo kubugia goli za kutosha ataamua kuleta fujo ila atatulizwa na mpira utaendelea lakini kishingo upande na utaishilizia kwa amani[emoji41]
Mnyama anakufaaPopcorns muhimu
Ninja hajawa fit na kesho hatapangwa, na ni afadhali maana angecheza angekula umeme. Dickson Job naye pia pancha, kwa hiyo kesho inarudi pacha isiyoaminika kabisa, Lamine na MwamnyetoNinja kesho ataua mtu
Mwanzoni unasema Yanga anaweza kupata matokeo KWA SABABU SIMBA ANAIWAZIA MECHI YA KAIZER, mwishoni unakuja kusema SIMBA AMEBWETEKA KWA SIFA!!!Yanga hawana timu bora kama Simba. Ila kwenye game zote za hivi karibuni za watani, nimegundua kuwa Yanga huwa wanacheza kwa kujitoa kwa asilimia 200. Hali hii huwa inawabeba sana Yanga kuliko wachezaji wa Simba na ndio maana matokeo yanakuwa upande wa Yanga au ngoma kuishia kwa droo.
Game ya leo wachezaji wa Simba watacheza kwa kujilinda ili wasiumie kwa kuwa wanaiwaza sana mechi ya Kaizer Chief kuliko hii ya Yanga, hii ni kwa vile hata Yanga ikishinda leo bado haina nafasi ya kuwa Bingwa kutokana na gap la points alizonazo Simba na mechi za viporo bado zinaibeba Simba.
Hivyo leo Yanga na kikosi chao hichohicho kichovu inaweza kuibuka na matokeo chanya kutokana na jihad waliyo nayo dhidi ya Simba iliyobweteka kwa sifa na kucheza kwa ku-relax.
Mimi sio utopolo ni mwanachama na shabiki wa Simba. Na hizo sababu zote mbili ndio zinazohusika kwa Simba kutopata ushindi kwa Yanga.Mwanzoni unasema Yanga anaweza kupata matokeo KWA SABABU SIMBA ANAIWAZIA MECHI YA KAIZER, mwishoni unakuja kusema SIMBA AMEBWETEKA KWA SIFA!!!
[emoji23][emoji23][emoji23] Utopolo tulieni
Kuanzia mwaka 2017 Simba na Yanga wamekutana mara 8, katika hizo Simba ameshinda mara 3, Yanga kashinda moja na sare mara 4.Mimi sio utopolo ni mwanachama na shabiki wa Simba. Na hizo sababu zote mbili ndio zinazohusika kwa Simba kutopata ushindi kwa Yanga.
Sijaongele upenzi wangu, nimeongea fact inayonikera kwa timu Yangu kutotoboa kila inapocheza na Yanga.
Ukizungumzia na miaka ya nyuma ya kihistoria bado Yanga yupo mbele ndio maana wanajinadi ni mabingwa wa kihistoria.Kuanzia mwaka 2017 Simba na Yanga wamekutana mara 8, katika hizo Simba ameshinda mara 3, Yanga kashinda moja na sare mara 4.
Timu yako ipi hiyo inayoshindwa kutoboa kila inapokutana na Yanga? Au wewe ni shabiki wa Mwadui?
Hata hiyo 2019 na 2020 ni historia, usiseme tusiangalie historia ila sema umechagua tutumie historia ambayo wewe unahisi inawa favor Yanga.Ukizungumzia na miaka ya nyuma ya kihistoria bado Yanga yupo mbele ndio maana wanajinadi ni mabingwa wa kihistoria.
Angalia matokeo ya hivi karibuni misimu miwili iliyopita 2019, 2020.
Simba ilikuwa bingwa lakini bado tuliishia kupata droo na kufungwa.
Tuwekeane hela. Yanga atachezea tena kuanzia 2. Huamini tusubirie mudaMechi ya Kesho suluhu tena 2-2...
Hakuna cha suluhu, ni lazima mmoja akae.Mechi ya Kesho suluhu tena 2-2...