McFerson
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,166
- 2,322
Waasalaaaam Jf
Kichwa cha thread hii chajieleza.
Natabiri kuwa kuna timu kesho wakati wa mechi ya watani itazua vurugu .
Kuna mtani mmoja atacheza rafu sana, nyingine zitapelekea kusababisha penati na hivyo kubugizwa goli za kutosha kwa sababu ya panic na baada ya mtani huyo kubugia goli za kutosha ataamua kuleta fujo ila atatulizwa na mpira utaendelea lakini kishingo upande na utaishilizia kwa amani😎