Natabiri Msimu huu Arsenal Bingwa EPL...

Arsenal.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
We bibi kigagula unajua nini kuhusu mpira. Labda mipira mingine lakini si huu wanaocheza akina pogba. Wakati mwingine ni busara kukaa kimya kuliko kuropoka kitu kisicho fanana na dunia hii.
 
We bibi kigagula unajua nini kuhusu mpira. Labda mipira mingine lakini si huu wanaocheza akina pogba. Wakati mwingine ni busara kukaa kimya kuliko kuropoka kitu kisicho fanana na dunia hii.
Ungejuwa mpira si tungekuona saa hizi umeshanunuliwa. Punguàni wahed.
 
Arsenal.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ni shule zilizojengwa na ccm ndio zinaleta shida zote hizi!! yaani badala mboreshe elimu mnaenda kununua mapangaboi na bahati mbaya yameshikiliwa!! mtaturudishia ela zetu hatutaki upuuzi!!
 
Ni shule zilizojengwa na ccm ndio zinaleta shida zote hizi!! yaani badala mboreshe elimu mnaenda kununua mapangaboi na bahati mbaya yameshikiliwa!! mtaturudishia ela zetu hatutaki upuuzi!!
Si jenga yako ulikatazwa?
 
Kumbe unajua eeh!!

Sasa usiwalaumu watanzania na kuwaambia walienda kusomea ujinga shule wakati unajua kabisa chanzo cha ujinga ni liccm lako!!!

Of course najuwa kuwa serikali ya CCM imekupa uhuru wa kujenga shule upendayo na kusoma upendapo.

Kwa hiyo futa huo ujinga wako wa kila kitu kuisingizia ccm.

Sema ccm haikukutafutia na mume, lilia na hilo.

Punguani wahed.
 
He he acha nicheke mie arsenal ipi hiyo mkuu
 
Bia zangu umekunywa,hela zangu umekula,nauli yangu umekula.....utatoa hutoi?Nasema utatoa hutoiiii??

No matter how evil money is,but being broke is not holly.
 
Labda wapate ajali wapotee wachezaji wote,kwa hiyo watapewa ubingwa kwa heshima tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…